Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

HAKUNA NCHI ITAKAYOACHWA NYUMA-MAJALIWA

Written by mzalendo

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mshauri mkuu wa masuala ya fedha kutoka Kituo cha Kusini, Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye Mataifa yaliyoendelea, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China  uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda. Katikati ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Masuala ya Fedha kutoka Kituo cha Kusini Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye Mataifa yaliyoendelea, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China  uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda. Katikati ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China, kwenye mkutano wa Wakuu hao, uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda.  Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

*Asema hayo ni maazimio ya nchi zinazounda kundi la G 77 na China

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China umeazimia kwamba nchi hizo pamoja na China zitaendelea kuweka utaratibu wa kuwakutanisha wataalamu wao kupitia wizara mbalimbali hususan katika maeneo ambayo wameyaainisha ili kuhakikisha hakuna nchi itakayoachwa nyuma kwenye mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia duniani.

Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa amesema kikao hiko pia kimezungumzia maendeleo ya nchi wanachama katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kijamii, ulinzi na usalama pamoja na mwenendo wa uwekezaji kwenye mataifa hayo na kuona namna ambavyo wanaweza kujiimarisha wenyewe.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana Januari 22, 2024 wakati alipomwakilisha Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China uliofanyika katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda. Mkutano huo ulianza Januari 21, 2024 na kuhitimisha Januari 22, 2024.

Akitoa kauli ya Tanzania katika mkutano huo, Waziri Mkuu alisema nchi inaunga mkono mipango yote iliyoratibiwa na wataalamu kutoka nchi zinazounda umoja huo wakiwemo wa kutoka Tanzania kuhakikisha kwamba Taifa linakuwa sehemu ya mafanikio kulingana na mipango iliyopo kwenye nchi hizo zinazounda kundi la G 77 na China.

“Upande wa kisiasa tutaendelea kuimarisha mahusiano yetu ya kidiplomasia ambayo Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuanzishia na anaendelea nayo vizuri kuhakikisha tunaendelea kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na nchi mbalimbali. Vilevile kwenye sekta ya uchumi kama ambavyo Taifa letu limeendelea kuimarisha uchumi wa ndani kwa kutumia fursa tulizonazo kwa kushirikisha marafiki wanaoweza kutuletea mitaji.”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa alitaja mkakati mwingine uliowekwa na Taifa katika kukuza uchumi ni pamoja na kuimarisha sekta ya kilimo ambayo inashirikisha watu wengi katika jamii.

Katika Mkutano huo, Rais wa Uganda Yowezi Kaguta Museveni alikabidhiwa uenyekiti wa kundi hilo la G77 na China kutoka kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdés Mesa, ambapo alisisitiza ushirikiano kwa nchi hizo katika kushughulikia changamoto za kidunia na kutoa wito kwa mataifa yanayoendelea kuunga mkono juhudi za maendeleo za nchi zinazoendelea.

Vile vile, Rais Mheshimwa Museven ambaye pia ni mwenyekiti wa umoja huo alisema kuwa ni muhimu kwa nchi zinazounda kundi la G77 na China zihakikishe zinashirikiana katika ufanyaji wa biashara hasa kwenye ununuaji na uuzaji wa mazao na huduma mbalimbali ili kusaidia ustawi wa uchumi wa mataifa yanayoendelea.

G-77 na China ni umoja ilioanza kama kundi la nchi 77 zinazoendelea ambazo zilikutana na kutia saini tamko la pamoja la mkutano wa kwanza wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo (UNCTAD) huko Geneva mwaka 1964, lengo likiwa ni kukuza ushirikiano wa kiuchumi. miongoni mwa nchi wanachama na kushughulikia kwa pamoja masuala yanayohusu maendeleo, biashara na taasisi za fedha za kimataifa.

About the author

mzalendo