Featured Kitaifa

LIVE: RAIS SAMIA AWAONGOZA WATANZANIA KUMBUKIZI YA HAYATI MAGUFULI

Written by mzalendoeditor

LEO Alhamisi, Machi 17, 2022 ni siku ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Kumbukizi hiyo inafanyika kitaifa katika Viwanja vya Magufuli, Chato mkoani Geita ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anawaongoza Watanzania kumkumbuka na kumuenzi kiongozi huyo shujaa.

 

Matukio katika picha kutoka Chato mkoani Geita kwenye Uwanja wa Magufuli ambapo kunafanyika Ibada ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 17, 2022

About the author

mzalendoeditor