Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Disemba 18, 2023 anaongoza kikao cha Mawaziri wanaohusika na Sekta ya Nishati wa Burundi, Rwanda na Tanzania ambacho kimelenga kujadili masuala mbalimbali kuhusu mradi huo ikiwemo maendeleo ya mradi. Kikao kinafanyika jijini Mwanza.
Dkt. Biteko anaongoza kikao hicho akiwa ni Mwenyekiti wa Mawaziri wanaohusika na mradi huo.
Taarifa rasmi itawasilishwa..