marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

hackhaber

Featured Kitaifa

SERIKALI YAAGIZA KUANZA MCHAKATO WA KUJAZA NAFASI ZA WATUMISHI 41,500 KWA MWAKA 2025/26

Written by Alex Sonna

 

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 11,2025 jijini Dodoma kuhusu kuanza mchakato wa kujaza nafasi za upungufu wa watumishi katika taasisi mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa umma nchini.

…..

SERIKALI imeelekeza Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuanza mara moja mchakato wa kujaza nafasi za upungufu wa watumishi katika taasisi mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa umma nchini.

Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika utumishi wa umma, kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, na kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya serikali.

Hayo yameelezwa leo Oktoba 11,2025  jijini Dodoma na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kuwa   serikali imekamilisha mchakato wa ajira zote za mwaka 2024/25 kwa lengo la kuhakikisha utoaji wa huduma hauathiriki kutokana na uhaba wa rasilimali watu.

“Katika mwaka wa fedha 2025/26, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliidhinisha nafasi 41,500 za ajira mpya kwa taasisi mbalimbali, zikiwemo nafasi 12,176 za walimu na nafasi 10,280 za kada za afya, ambapo utekelezaji wake unaanza mara moja,” amesema  Mkomi.

Aidha ameeleza kuwa ili kupunguza gharama kwa waombaji wa ajira, kuongeza uwazi wa mchakato, na kuharakisha upatikanaji wa watumishi wenye sifa, waajiri wametakiwa kutoa ushirikiano na kuruhusu waombaji kufanya usaili katika maeneo yao bila kulazimika kusafiri umbali mrefu.

“Ili kuhakikisha Sekretarieti ya Ajira inatekeleza jukumu hili ipasavyo, waajiri wote wanaelekezwa kutoa ushirikiano. Pia wale waliokasimiwa madaraka ya kuendesha mchakato wa ajira kwa baadhi ya kada wanapaswa kufanya usaili mara moja ili kujaza nafasi walizoidhinishiwa kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma,” alisisitiza.

Aidha, Mkomi amesema  kwa lengo la kupunguza gharama na kurahisisha mchakato, zoezi la usaili litafanyika katika kila mkoa Tanzania Bara, na vituo maalum vitaandaliwa upande wa Zanzibar ili kutoa fursa kwa waombaji kutoka maeneo husika kushiriki kwa urahisi.

“Waombaji watakaofaulu usaili lakini hawatapangiwa kazi mara moja, watahifadhiwa kwenye Kanzidata ya Sekretarieti ya Ajira na watapangiwa kazi kwa kadri nafasi mpya zitakavyopatikana, katika taasisi mbalimbali nchini,” amesema  Mkomi.

Hata hivyo, ameiongeza kuwa barua za kupangiwa vituo vya kazi kwa waombaji watakaofaulu usaili zitapatikana kupitia Mfumo wa Ajira Portal kwa akaunti binafsi za wahusika, ili kuondoa changamoto ya ucheleweshaji na upatikanaji wa taarifa.

About the author

Alex Sonna