Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

KAMATI YA SIASA CCM  MKOA WA ARUSHA WAMSHUKURU RAIS SAMIA, AMEWAPA MKURUGENZI ANAYEJALI MASLAHI YA WANANCHI.

Written by Alex Sonna
KAMATI ya siasa ya mkoa wa Arusha pamoja na wilaya ya Meru wakikagua eneo lililoanza kujengwa msingi kwaajili ya jengo la mama na Mtoto katika kituo cha Maroroni kinachojengwa kwa kutumia fedha za ndani za Halmashauri.
 KAMATI ya siasa mkoa wa Arusha na wilaya ya Meru wakikagua ujenzi wa kituo cha afya katika KATA ya Maroroni kinachojengwa kwa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri.
MJUMBEwa kamati ya siasa mkoa wa Arusha Robert Paul Kaseko akiongea katika jengo la zahanati inayoendelea kujengwa katika kata ya Kikatiti.
MKURUGENZI
wa halmashauri ya Meru Mwalimu Zainabu Makwinya akielezea jambo katika zahanati ya Kikatiti inayoendelea na ujenzi.
KAMATI ya siasa mkoa na wilaya  wakiwa na mkurugenzi wa halmashauri ya Meru Mwalimu Zainabu Makwinya wakati wakikagua ujenzi wa zahanati ya Kikatiti.
MJUMBE wa kamati ya siasa wilaya ya Meru Mathayo Leiya Mafie akiongea wakati wakikagua ujenzi wa zahanati ya Kikatiti.
…………………………………………………
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA
Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha na wilaya ya Meru imeshukuru Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu kwa kuunga mkono ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kikatiti uliodumu kwanzia 2013 huku wakimshukuru kwa kuwapa mkurugenzi wa halmashauri ya Meru  anayejali maslahi ya wananchi Mwl Zainabu Makwinya.
Akiongea katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali inayoendelea katika halmashauri hiyo mjumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Arusha Robert Paul  Kaseko  alisema kuwa Mh. Rais kwa kuguswa na shida za wananchi alichangia milioni kumi katika ujenzi wa zahanati hiyo October 2021 lakini amewapa mkurugenzi ambaye ana msukumo mkubwa wa shughuli za kiutendaji hasa katika kufuatilia na kusimamia miradi ya serikali inayotekelezwa katika halmashauri hiyo.
“Madiwani na viongozi wengine wote mkimtumia vizuri Mwalimu Zainabu 2025 wapinzani hawatakuwa na la kusema kwani ni mtu ambaye anajibidiisha mwenyewe na anajua namna na wapi pa kutafuta rasilimali fedha kwaajili ya kuwanufaisha wananchi, angoji fedha zinazotoka serikalini  tu peke yake na kama mnavyoona ndani ya muda mfupi ametafuta mdau ambaye endapo mambo yatakaa vizuri atamalizia kituo hicho,” Alisema
Alifafanua kuwa kituo hicho ambacho  ujenzi ulisimama kutokana na rasilimali fedha ndani ya muda mfupi wameshaonyesha fedha ambazo alizitoa Rais Samia milioni 10 na halmashauri milioni 10 huku mbunge naye akichangia milioni tano ambazo zinaweza kuingia muda wowote mpaka hapo wameona zahanati hiyo inaenda kukamilika.
Mjumbe wa Kamati ya siasa wilaya hiyo Mathayo Leiya Mafie alisema kuwa tangu kuanza kwa mradi huo 2013 mkurugenzi huyo ni wakwanza kutoa mkazo katika ujenzi huo na amekuwa sehemu ya Kikatiti yeye pamoja na mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya hiyo pamoja na mhandisi.
“Wao kuwepo mara kwa mara mahali hapa wanaendelea kuona ni changamoto gani zipo na juzi amekuja na mdau ambaye amekubali kutusaidia kwahiyo anafanya kazi nzuri ambayo inaonyesha haikuwa makosa yeye kuja Meru lakini pia anakipa heshima chama cha mapinduzi ambapo 2024/2025 wapinzani watakuwa hawana hoja tena kwani hoja yao ilikuwa Zahanati hii,” Alisema Mafie.
“Mkurugenzi umesema hata wadau wengine umeongea nao endelea kupambana nao angalau kituo hiki kikamilike na mbele ya safari ikiwezekana kiwe kituo cha afya,”alieleza.
Diwani wa kata ya Kikatiti Kisali Majala alieleza kuwa  kuwa milioni 10 alizitoa Rais Samia ndio zimekuwa  kichocheo cha kuendeleza ujenzi wa zahanati hiyo lakini pia ushirikiano wa mkurugenzi ambaye anafanya kazi hiyo kama ya kwake kwa kujituma muda wote anaamini atamalizia ujenzi huo.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Meru Mwalimu Zainabu Makwinya alisema kuwa ameandika barua kwaajili ya kuwaomba  wadau mbalimbali waeasaidie ili waweze kukikamisha kwani Mh Rais ametoa hizo milioni 10 sio kwamba hana fedha  ila anataka aone na wao kama wanaweza hivyo ameanza kutafuta wadau na kuna mmoja alishafika katika eneo hilo na wameshamtengenezea bajeti.
Naye mtendaji wa kijiji cha Kikatiti Abel Kaaya alisema kuwa kwasasa zinahitajika zaidi ya milioni 200 ili kukamilika kwa Zahanati hiyo ambapo  hadi hapo ilipofikia zimeshatumika zaidi ya milioni 90 ikiwemo milioni 70 inayochangwa na wananchi, milioni tano kutoka mfuko wa Jimbo, milioni 10 alizitoa Rais Samia October 16,2021 pamoja na milioni 10 iliyotolewa na halmashauri.
Sambamba na hayo pia kamati hiyo iliweza kukagua ujenzi  kituo cha afya pamoja na jengo la mama na mtoto  katika kata ya Maroroni inayojengwa kwa fedha za ndani za halmashauri hiyo pamoja ukaguzi wa madarasa ya katika shule ya sekondari Kiwawa, Embaseni pamoja na Shambarai Burka.

About the author

Alex Sonna