Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Mbozi kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe
Baadhi ya viongozi na watumishi wa wilaya ya Mbozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Novemba 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)