Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS KATIKA IBADA YA ASUBUHI KABLA YA KUANZA KWA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE MKOANI NJOMBE

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki mkoani Njombe katika Ibada ya kawaida ya asubuhi iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kabla ya kuanza kwa siku ya pili ya ziara yake mkoani Njombe leo tarehe 27 Oktoba 2023.

About the author

mzalendo