Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

NSSF YAHITIMISHA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, RAS MWANZA APONGEZA MATUMIZI YA MTANDAO KUSAJILI WAAJIRI NA WANACHAMA

Written by Alex Sonna

Na MWANDISHI WETU, MWANZA

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Mhe. Elikana Balandya ameupongeza Mfuko wa Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuanzisha Mfumo wa kusajili waajiri na wanachama kwa njia ya mtandao jambo ambalo limewapunguzia waajiri na wanachama muda na gharama za kusafiri kwenda kwenye ofisi za NSSF kufuata huduma.

Akizungumza jijini Mwanza katika Ofisi za NSSF,  kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Amos Makalla, wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kauli mbiu isemayo ‘Team Service’ na kauli mbiu ya NSSF ni ‘Ushirikiano kwa Huduma Bora’, amesema kupitia mfumo huo, NSSF imetekeleza kwa vitendo maagizo ya Serikali Mtandao.

“Nimefurahishwa na suala la kuanzisha mfumo wa kusajili waajiri na wanachama kimtandao yaani lango la mwajiri (employer portal) na lango la mwanachama (member portal). Mifumo hii inapunguza muda na gharama za kufuata huduma kwenye ofisi za NSSF,” amesema Mhe. Balandya. 

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba amemshukuru Mhe. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa uongozi wake umeweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji hapa nchini, hali ambayo imechangia kuongezeka kwa miradi inayotekelezwa kwa ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi.

Akizungumzia utendaji wa NSSF, Mshomba amesema katika mwaka wa fedha 2022/23, Mfuko umekua hadi kufikia Trilioni 7.572 ukilinganisha na mwaka 2021/22 ambapo ulikua na thamani ya trilioni 6.079.

“Ukuaji huu wa Mfuko umetokana na kuongezeka kwa wanachama ambapo tulifanikiwa kusajili wanachama wapya 226,772 kati yao, wanachama 198,998 ni kutoka sekta rasmi na 44,897 kutoka sekta isiyo rasmi,” amesema Mshomba.

Amesema Mfuko ulikusanya michango yenye thamani ya shilingi trilioni 1.716 katika mwaka 2022/23, mapato yatokanayo na uwekezaji pia yameendelea kuongezeka ambapo katika mwaka wa fedha 2022/23, Mfuko ulipata mapato yenye thamani ya shilingi bilioni 7.153 sawa na asilimia 55 ukilinganisha na mapato yenye thamani ya shilingi bilioni 4.622.25 yaliyopatikana katika mwaka wa fedha 2022/23

Kuhusu ulipaji wa mafao, Mshomba amesema katika kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Juni 2023, Mfuko ulilipa mafao yenye thamani ya shilingi bilioni 745.72 ikiwa ni ongezeko la asilimia 13 ukilinganisha na mafao ya shilingi bilioni 659.77 yaliyolipwa katika mwaka wa fedha ulioishia Juni 2022.

Mshomba amesema mafanikio hayo yamepatikana kutokana na maboresho ya huduma katika maeneo mbalimbali ikiwemo lango la elektroniki la huduma kwa waajiri na wananchama, kuboresha eneo la ukaguzi kwa waajiri ambapo kaguzi hizo kwa sasa hufanyika kwa kutumia mfumo wa kielektroniki (inspection portal), kuendesha semina kwa waajiri na wanachama, kuanzisha mifumo ya ushirikiano na Taasisi zingine za Serikali na kuboresha mifumo ya kielektroniki.

Baadhi ya wastaafu waliohudhuria sherehe hizo akiwemo Theodosia Alex wameishukuru NSSF kwa kuboresha huduma zake ikiwemo kutoa mafao kwa wakati akieleza kuwa alipostaafu alipata mafao yake mapema.


Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Mhe. Elikana Balandya akizungumza wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba akizungumza wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba akizungumza wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja





 

About the author

Alex Sonna