Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMJULIA HALI DKT. SALIM AHMED SALIM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumjulia hali Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Kiongozi huyo kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam

About the author

mzalendoeditor