marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

jojobet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

ngsbahis

piabellacasino

mislibet

ngsbahis

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

jojobet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

robinbet

meritking

meritking

grandpashabet

Featured Kitaifa

HAKIKISHENI RISITI ZA EFD ZINATOKANA NA MASHINE ZILIZOTHIBISHWA-MAJALIWA

Written by Alex Sonna
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya  Utalii na Uchumi wa Bluu lililofanyika Mafia Mkoani Pwani Septemba 30, 2023. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

…..

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya kupitia kwenye kamati za mapato za wilaya wakutane na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wa Idara ya Mapato kwenye Halmashauri ili kufanya ukaguzi kwenye maeneo ya biashara na kuhakikisha risiti za EFD zinazotumika ni zile zinazotokana mashine zilizothibitishwa na kusajiliwa.

“Ni muhimu kila kiongozi anayehusika ashiriki katika kuhamasisha matumizi ya mashine za EFD na kufuatilia hali ya utoaji wa risiti kwa nidhamu kubwa bila kusababisha usumbufu na kero kwa wafanya biashara.”

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumamosi, Septemba 30, 2023 ) wakati wa Kilele cha Maonesho ya Juma la Utalii na Uchumi wa Bluu yaliyofanyika wilayani Mafia, Pwani. Hatua hiyo imekuja baada ya kubainika uwepo wa watu ambao wanajihusisha na biashara ya kuuza risiti za EFD kwa wafanyabiashara au watu walionunua bidhaa bila risiti.

Pia, ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iendelee kutoa elimu na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Risiti za Kielektroniki (EFD). ”Ndugu wananchi kila unapokwenda kununua bidhaa yoyote dukani na maeneo mengine hakikisha unapata risiti inayotoka kwenye mashine iliyothibitishwa. Tunaendelea kufanya ukaguzi.”

Waziri Mkuu amesema jambo hilo ni ukiukwaji wa sheria na matakwa ya kufanya biashara nchini, hivyo ameitaka TRA iendelee kusimamia sheria, kanuni na taratibu za nchi na kuhakikisha kila mfanyabiashara anafanya biashara kwa mujibu wa sheria.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kwamba TRA ihakikishe inafuatilia kikamilifu wateja wanapewa na kudai risiti zaEFD kwa nidhamu kubwa bila ya kusababisha usumbufu au kero kwa wafanyabiashara na wateja kwa ujumla.

Waziri Mkuu amesema lengo la Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kunakuwa na mazingira rahisi yatakayowawezesha wafanyabiashara wa ndani na nje kufanya biashara zao.

Aidha, Waziri Mkuu amewataka Wakuu wa Wilaya nchini waimarishe Mabaraza ya Biashara katika wilaya zao pamoja na kukutana na wafanyabiashara na kusikiliza changamoto zao na ushauri wao  ili biashara ziweze kufanyika kwa ufanisi zaidi.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewataka viongozi wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Mafia waweke mikakati ya kuongeza kasi ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo katika maeneo yao ili kuongeza idadi ya watalii.

“Mkoa uweke mkakati wa uwezeshaji wa wananchi wanaofanya shughuli za uchumi wa buluu, Serikali ya Mkoa na Wilaya wasaidieni vijana na wajasiriamali wengine kupata fursa za elimu na mikopo ya kuendesha shughuli za biashara.”

Pia, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwasisitiza Watanzania wajenge utamaduni wa kufanya utalii wa ndani. “Tembeleeni Mafia mjionee uzuri uliopo. Tembeleeni na vivutio vingine, niwahakikishie kuwa gharama kwa wazawa katika vivutio vyetu vya utalii ziko chini ili wananchi waweze kumudu. Wekeni utaratibu wa kutunza akiba mpate fursa ya kutembelea vivutio vilivyopo nchini kwetu.”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Mafia walipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mafia ambako Waziri Mkuu alihutubia Kilele cha Maadhimisho ya Juma la Utalii na Uchumi wa Bluu (Mafia Island Festival), Septemba 30, 2023.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuui)

Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya  Utalii na Uchumi wa Bluu lililofanyika Mafia Mkoani Pwani Septemba 30, 2023. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna