Kwa hakika siasa hapa nchini Kenya huwa na wenyewe jinsi watu wanavyosema, kila mara nilipowaona wanasiasa wakishinda viti mbalimbali hapa nchini nilidhani ni suala rahisi tu.
Nilifikiria tu wakati unapofanya mkutano wa kisiasa na umati mkubwa wa watu ujitokeze ilikuwa ishara tosha kwamba ungeshinda kiti kile lakini hii haikuwa kweli kwani umati labda ulikuwa umekuja kula hela zako ama kusikia ajenda zako na mara nyingi wao huwa na mtu wao ambao wangependa kumpigia kura.
Mwaka mmoja niligombea kiti cha ubunge wa kaunti na nikaona maajabu, nilikopa hela za kampeni na kuwamwagia vijana, wazee na watu mbalimbali kwa ajili ya umaarufu ili niibuke mshindi. Mambo yalienda mrama kwani nilishindwa vibaya, sikuwa na chochote cha kujivunia kwani nilikua nimepoteza hela pamoja na muda wangu.
Nilingojea miaka mitano baadae na nikajitoza tena kwenye uwanja wa siasa, mara hii nilidhania eti kwa vile nilishindwa awali, basi raia wangenihurumia na kunipa kura.
Kiongozi wa chama chetu mara hii alinifadhili kwani ajenda zangu zilienda sambamba na za chama, kila nilipoenda mashinani, watoto kwa vijana kwa wanawake wote waliimba jina langu.
Nilifahamu huu ulikuwa ni mwamko mpya kwenye shughuli zangu za kisiasa, ama kwa hakika ilikuwa ni siku njema iliyoanza kuonekana mapema.
Siku ya kupiga kura ilifika na hapo nilifurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza, wakati wa matokeo ulipofika, nilipigwa na butwaa kwani wakati huu pia nilikuwa wa mwisho. Aibu ilinikumba nisijue la kufanya.
Kila mtu alinikejeli na kuniita majina mabaya au kunitukana, wengine walisema kuwa nilikua naharibu pesa zangu kwa kijitosa kwenye ulingo huu wa siasa. Atafutaye hachoki lakini kwa wakati huu nilikuwa nimefikia kwenye ukingo wa suala zima la siasa.
Lakini nilipatana na mbunge Fulani ambaye jina lake nalihifadhi, nilimuuliza siri yake kwenye ulingo wa siasa na akanielezea kwamba African Doctors alimsaidia akashinda kiti hicho kwa kishindo.
Siku iliyofuatia nilienda ofisini kwa African Doctors kwa ajili ya ushauri na usaidizi kwani ilikuwa imebaki mwaka mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu mwingine.
Nilirejea kutoka kwa African Doctors na kuendelea na shughuli zangu za kampeni, mara hii umati mkubwa ulijitokeza kunishangilia kwa kishindo. Jambo hili lilitia wapinzani wangu kiwewe kwani ilikuwa ni ishara tosha mambo yalikuwa yamebadilika kwa uwezo wa African Doctors.
Mara nyingi wapinzani wangu walitafuta sababu za kuniharibia lakini kwa kweli wimbi nilikuwa nalo kwa wakati ule, hela nilimwaga kama ilivyokuwa kawaida yangu ili raia waweze kunipigia kura.
Siku ya kupiga kura ilipowadia nilijihisi kama niliyekuwa na mwamko mpya maishani, nilipiga kura yangu asubuhi na mapema na nikarejea nyumbani kupumzika huku nikingoja matokeo na mara hii nilikuwa na matumaini kuwa ningeibukia mshindi. Wakati wa matokeo uliwadia na nilikuwa nimeketi ukumbini nikifuatiliwa yote yaliyojiri kwenye uchaguzi ule.
Matokeo yalianza na hapo nilitangazwa kama mshindi, hakuna yeyote aliyepeleka kesi mahakamani kupinga kuchaguliwa kwangu kama mbuge, ama kwa hakika African Doctors alikuwa amefanikisha azma yangu ya kuwa mwanasiasa.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com