Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA 2 years agoby Alex Sonna268 Views Written by Alex Sonna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn