Featured Kitaifa

NABADILISHA CHUPI MARA  3  KWA SIKU,ILA NASHINDWA KUMPA UTAMU!

Written by mzalendoeditor
Unajua dunia hii imezungukwa na magonjwa mbalimbali na kila ugonjwa una changamoto nyingi katika mwili wa binadamu, baadhi ya watu wakipata magonjwa yanayohusishwa na zinaa basi uficha kabisa ili watu wasijue. 
Naitwa Jerida, nilipata ugonjwa wa kisonono nikiwa na miaka 25, sikuweza kutambua kwa haraka sana kuwa nina ugonjwa huo kwa sababu ni ugonjwa ambao huonyesha dalili zake taratibu sana.
Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nilianza kusikia harufu mbaya kutoka sehemu zangu za siri, kwa haraka nikahisi kuwa labda sijisafishi vizuri haswa nikimaliza kukujoa, hivyo nikapunguza matumizi ya toilet paper haswa nikienda haja ndogo zaidi nikaanza kutumia maji tu.
Baada ya siku kadhaa kupita nikaanza kuumia haswa nikishiriki tendo la ndoa na Boyfriend wangu hali ya kuwa nimeishi naye kwa miaka miwili na sikuwahi kupata maumivu kama yale.
Boyfriend wangu mwenyewe aliacha kushiriki tendo la ndoa kutokana na harufu mbaya ambayo iliyokuwa ikitoka haswa tukifanya hilo tendo.
Hivyo ilifikia hatua tunaweza kumaliza siku 10 bila kugusana, kwa upande wangu nilikuwa naumia sana kuona nashindwa kumpatia Boyfriend wangu kitu akipendacho, pia upande mwingine nilikuwa nawaza nitampoteza muda wowote kama hali itaendelea kuwa vile. 
Nilikimbilia kituo cha afya kilichokuwa karibu kisha kumuona Doctor, baada ya vipimo niliambiwa nina ugonjwa wa kisonono pia nikapewa dawa na jinsi ya kuzitumia. 
Sikuishia hapo nilikwenda hadi kununua nguo za ndani mpya 24 ili nisiwe narudia zile zangu za zamani na kuepuka kurudia chupi kwa muda mfupi, nilimeza zile dawa kwa kipindi cha siku 14 na hali ikabadilika, harufu ikaisha na maumivu yakapungua kiasi fulani. 
Mwezi moja kupita tangu nimalize zile dawa hali ikajirudia kwa kasi kubwa zaidi, sehemu zangu za siri zikaanza kutoa uchafu na harufu kali sana, kwa siku nilikuwa nabadilisha chupi mara tatu hali ambayo ilinikosesha amani ya kwenda kazini au sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu. 
Kila mara nilikuwa nameza dawa, ikafikia hatua nikakatazwa baadhi ya vyakula kwani vinachangia kwa kiasi kikubwa kupata uchavu unaotoka sehemu za siri.
Siku moja rafiki yangu Anna alikuja kuniona nyumbani kwangu, katika mazungumzo yangu na yeye ilibidi nimwambie kitu kinachoniumiza kwa muda mrefu.
Anna akaniambia kuwa African Doctors ana uwezo wa kunisaidia maana amemsaidia kumrudisha mpenzi wake ambaye walikuwa wameachana kwa kipindi cha mwaka mmoja, pia anaweza kumsaidia mtu hata akiwa mbali bila kufika ofisini kwake.
Kisha niliwasha data nikatembelea tovuti yao ndipo niliweza kuona kuwa African Doctors wanatibu magonjwa mengi kwa kutumia miti shamba. Niliona wanatibu ugonjwa kama Sukari, Pressure, Kisonono, Kaswende, TB n.k, nilipoona kuwa wanatibu na Kisonono, ndipo nilichukua namba yao na kuwasiliana nao. 
Kabla sijapata matibabu niliulizwa maswali kadhaa juu ya ugonjwa wangu, ndipo African Doctors akanipatia muongozo jinsi nitakavyoweza kupona, nilifuata masharti na maelezo yake na sasa sina ugonjwa huo tena. Sasa hivi nashiriki tendo la ndoa kama ilivyokuwa mwanzo bila shida yoyote. 
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

About the author

mzalendoeditor