Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo Akitoa maelezo kuhusu hoja za wabunge zilizojitokeza wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 aliyoiwasilisha bungeni leo Aprili 24, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipongezwa na wabunge mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Naibu Waziri Mhe. Khamis Hamza Khamis wakipongezwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akifurahia jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji, na Mazingira Mhe. Jasckson Kiswaga mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 leo Aprili 24, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe. Khamis Hamza Khamis na menejimenti ya Ofisi hiyo na Baraza la Taifa la Hifadhi nsa Usimamizi wa Mazingira (NEMC) mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 leo Aprili 24, 2023.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 24, 2023 limepitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 kiasi cha ya Sh. 54,102,084,000 kwa matumizi mbalimbali yakiwemo miradi ya maendeleo. 

Akitoa maelezo kuhusu hoja za wabunge zilizojitokeza wakati wa kujadili hotuba hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali itaendelea kuhakikisha inatenga bajeti ya kutosha kuweza kutekeleza miradi ya hifadhi ya mazingira.

Dkt. Jafo Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na jukumu la kuratibu suala la usimamizi na hifadhi ya mazingira kazi inashirikiana na wizara za kisekta katika kusukuma mbele ajenda ya mazingira.  

“Mheshimiwa Naibu Spika ni kweli bajeti imekuwa haitoshi kama ambavyo kamati na wabunge walivyochanga lakini jukumu letu kubwa ni kuhakikisha tunatekeleza miradi ili isaidie karika kulinda mazingira kwa mfano tumechimba malambo katika maeneo kame yote haya ni kuhakikisha wananchi wanakabiliana na athari za kimazingira,” amesema.

Akiendelea kujibu hoja za wabunge waliochangia hotuba hiyo pia, Waziri Jafo amesema kuwa hivi sasa wananchi wanahamasishwa katika kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti ili kunufaika na Biashara ya Kaboni.

Amesema hivi sasa Halmashauri Tanganyika imeweza kuingiza mabilioni ya fedha kutokana na kuhifadhi misitu na hivyo hatua hiyo itasaidia kuhamasisha wananchi waendelee kupanda miti.

“Biashara ya Kaboni inafungua milango ya uwekezaji ndio maana Ofisi ya Makamu wa Rais iliandaa Mwongozo na Kanuni na kutokana na hatua hiyo sasa tunafungua mlango mpana wa upatikanaji wa fedha kupitia biashara hiyo,” amesema.

Awali akichangia hoja, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua kuhakikisha viwanda vinadhibiti uchafuzi wa mazingira.

Amesema viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wamekuwa wakitoa maelekezo kwa wenye viwanda wahakikishe wanatengeneza mifumo ya kuzuia majitaka yasitiririke ovyo kwenye makazi pamoja na moshi usisambae ovyo hewani.

Aidha, Naibu Waziri Khamis amesema Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais itaendelea kutatua changamoto ya kimazingira kutokana na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo ya pwani.

Amesema kuwa tayari Ofisi imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa kuta za kuzuia majichumvi yasiingie kwenye makazi katika Pwani ya Mikindani mkoani Mtwara na Sipwese, Pemba.

About the author

Alex Sonna