Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA KUWAWEZESHA VIJANA WA KCB BENKI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB, Christina Manyenye kuhusu vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya vijana waliohitimu mafunzo ya ufundi kupitia mradi wa kuwawezesha vijana Kielimu na Kiuchumi kupitia KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ), kwenye uzinduzi wa mradi huo uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Swaumu Bakari vifaa vya ujenzi baada ya kuhitimu mafunzo ya ufundi kupitia mradi wa kuwawezesha vijana Kielimu na Kiuchumi unaofadhiliwa na KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ), wenye uzinduzi wa mradi huo uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Frank Ferdinand vifaa vya ujenzi baada ya kuhitimu mafunzo ya ufundi  kupitia mradi wa kuwawezesha vijana Kielimu na Kiuchumi unaofadhiliwa na KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ), wenye uzinduzi wa mradi huo uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi mradi wa Kuwawezesha Vijana Kielimu na Kiuchumi kupitia KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ), katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Aprili 16, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28.

“Ni ukweli usiopingika kuwa suala la uwezeshaji wa vijana ni muhimu katika kukuza uchumi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba vijana ni nguvu kazi inayotegemewa na ni kundi kubwa katika nchi yetu. Kwa msingi huo maendeleo yetu yanategemea sana vijana kwani hili ni kundi kubwa na muhimu lenye umri wa kufanya kazi. Wingi wa vijana wenye ujuzi, ni chachu ya kuharakisha maendeleo endelevu,” amesema.. 

Amesema hayo leo Jumapili (Aprili 16, 2023) wakati akizindua Mradi wa Kuwezesha Vijana Kielimu na Kiuchumi kupitia KCB 2jiari wa KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 .

Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote zikiwemo taasisi za kifedha, mashirika ya kimataifa na sekta binafsi katika kujenga nguv ukazi yenye ujuzi itakayoshiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Taifa.

“Serikali kwa upande wake inaendelea kutekeleza mikakati na programu mbalimbali za uwezeshaji wa vijana ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwekewa mazingira mazuri na wezeshi ya kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo,” amesema. 

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa tangu ianze kutekeleza Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi, Serikali imetoa fursa za mafunzo ya ujuzi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa vijana 118,415 katika fani za uanagenzi, uzoefu wa kazi, ufugaji wa samaki na viumbe maji na kilimo cha kisasa kwa njia ya vizimba. 

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka vijana waendelee kujitokeza kwa wingi na kuchangamkia fursa za uwepo wa mradi mbalimbali ya kuinua vijana kiujuzi na kiuchumi.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa mradi huo ni muhimi kwa kuwa unagusa moja kwa moja vijana ambao ni moja ya nguzo muhimu ya maendeleo ya Taifa.

 “Mradi huu wa kuwainua vijana kiuchumi na kiujuzi tukiutekeleza ipasavyo, tutakuwa tumeinua Taifa kimaendeleo na kuimarisha uchumi wa Taifa letu”

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB, Cosmas Kimario amesema lengo la mradi huo wa ‘2Jiajiri’ ulioanzishwa mwaka 2000 ni kuboresha ajira na biashara kwa wanawake na vijana nchini na kupunguza mawazo ya vijana kuajiriwa.  

“Kupitia mradi huu vijana na wanawake, 1,780 wamenufaika na kwa mwaka huu tunatarajia kufikia vijana takriban 5,000,” amesema.

About the author

Alex Sonna