Featured Kitaifa

RAIS ALHAJJ DK.MWINYI MGENI RASMIN FAINALI ZA TUZO ZA KIMATAIFA ZA QURAN TUKUFU UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Sweden Abubaker Sharif  Abubaker ,baada ya kuibuka mshindi wa Pili katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam

WASHIRIKI  wa Fainali ya Tuzo za Kimataifa za Mashindano ya Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano hayo yaliofanyika leo 16-4-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashidano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa ya Quran TukufuTanzania  yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh.Hamid Masoud  Jongo.(Picha na Ikulu)

MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Zanzibar. Fahadi Haji Ali akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na Ikulu)

MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman akiwa na umri wa miaka 10, akishiriki katika mashandano hayo ya Kimataifa yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na kuzawadiwa Dola 500 na Benki ya CRDB kwa kuwa mshiriki mwenye umri mdogo.(Picha na lkulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na lkulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Tatu wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Tanzania Abdul-Wahabu Daudi Biro,baada ya kuibuka mshindi wa Tatu katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na Iulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Sweden Abubaker Sharif  Abubaker ,baada ya kuibuka mshindi wa Pili katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na Iulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Yeman. Galal Hamdi Saeed,baada ya kuibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na Iulu)

About the author

mzalendoeditor