Featured Kitaifa

DK MAHERA AKABIDHI OFISI KWA KAILIMA

Written by mzalendoeditor

Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima. Makabidhiano hayo ya ofisi yamefanyika leo Machi 14,2023 katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma. (Picha na NEC)

About the author

mzalendoeditor