Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

RC SENYAMULE,TANAPA KUHAMASISHA UTALII MKOA WA DODOMA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule,akizungumza  wakati wa zoezi la kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Mkoa wa Dodoma.

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TANAPA Dkt.Noelia Myonga,akizungumza wakati akitangaza mafanikio ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)  katika kipindi cha Serikali ya awamu ya Sita Mkoa wa Dodoma.

Na Erick Mungele-DODOMA

 MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wameendelea kuhamasisha Utalii ndani na nje ya nchi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali  ili kuongeza watalii kutoka 1,500,000 hadi kufikia watalii 5,000,000 na kuongeza ukusanyaji wa mapato yatokanayo na utalii.

 Hayo ameyasema wakati wa zoezi la kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa taasisi zilizopo Mkoani humo katika miaka miwili ya awamu ya sita ambapo wanajivunia mafanikio ya TANAPA katika Mkoa wa Dodoma kutangaza utalii wa ndani.

Amesema Mkoa wa Dodoma unaendelea kunufaika na sekta hiyo kupitia utalii wa aina mbalimbali kama historia na mali za kale eneo lililotumiwa na wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa bara la Afrika lililopo Kongwa mjini, utalii wa zabibu na mazao yake kama mvinyo pia utalii wa kutembelea mapori ya akiba ya Mkungunero na Swagaswaga.

“Mkoa wetu wa Dodoma kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania limeendelea kuhamasisha Utalii ndani na nje ya nchi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuongeza watalii kutoka 1,500,000 hadi kufikia watalii 5,000,000 na kuongeza ukusanyaji wa mapato yatokanayo na utalii,”amesema senyamule.

Hata hivyo Serikali imeendelea kuboresha Miundombinu na Huduma za Utalii katika maeneo ya Hifadhi za Taifa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kufungua miundo mbinu ya Barabara, Viwanja vya ndege na kuboresha malazi ya watalii na Mkoa wa Dodoma ikijumuishwa.

Kwa upande wake,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TANAPA Dkt.Noelia Myonga amempongeza Raisi wa Jamuhuri wa muungano watanzania kwa kuzindua filamu ya royal tour maana Mafanikio makubwa yameonekana baada ya kuzindua Filamu hiyo.

Amesema Mwaka 2021/2022 hali ya utalii ilianza kuimarika ukilinganisha na mwaka wa fedha wa 2020/2021, ambapo jumla ya watalii 1,053,701 walitembelea Hifadhi za Taifa Tanzania ikiwa ni aongezeko la Watalii 551,759 ukilinganisha na mwaka 2020/2021.

“tunapongeza Raisi wa jamuhuri wa muungano watanzania kwa kuzindua filamu ya royal tour maana Mafanikio makubwa yameonekana baada ya kuzindua Filamu amabapo Mwaka 2021/2022 hali ya utalii ilianza kuimarika ukilinganisha na mwaka wa fedha wa 2020/2021, ambapo jumla ya watalii 1,053,701 walitembelea Hifadhi za Taifa Tanzania ikiwa ni aongezeko la Watalii 551,759 ukilinganisha na mwaka 2020/2021,”amesema Dkt.Myonga.

Pia amesema wamejiweka malengo Kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi kwa kutumia mitandao ya kijamii, kama vile Twitter, WhatsApp, Instagram, YouTube, Facebook na Tiktok na Kushiriki katika Maonyesho ya Kimataifa, Makongamano na Road Shows Pamoja pai Kushirikiana na Mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.

Menejimenti ya TANAPA imepongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha mafanikio mengi kwa kipindi kifupi, hivyo kufanya shughuli za Shirika kuendelea vizuri na kwa ufanisi.

About the author

Alex Sonna