Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Chama cha mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) ulioongozwa na Mwenyekiti Ndg,Said Suleiman Said (wa tatu kushoto) wakati Uongozi huo ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 02/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea taarifa ya Chama cha Mchezo wa mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) kutoka kwa Mwenyekiti Ndg.Said Suleiman Said wakati Uongozi wa Chama hicho ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 02/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Chama cha mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) ulioongozwa na Mwenyekiti Ndg,Said Suleiman Said (hawapo pichani) wakati Uongozi huo ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 02/03/2023.