Picha zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka Jana Tarehe 21 Januari, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba, Dar es Salaam. (Picha zote na Fahadi Siraji wa CCM)