NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Tanzania Bara, Christine Mndeme,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa UWT Dkt.Philis Nyimbi ,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemery Senyamule,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
KATIBU wa CCM Mkoa wa Dodoma Pili Mbaga,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma anayemaliza muda wake, Neema Majule,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma. uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
MWENYEKITI wa Uchaguzi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Jabir Shekimweri akitoa maelekezo kwa wagombea wa nafasi mbalimbali wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma. uliofanyika leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma.
…………………………
Na Alex Sonna-DODOMA
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Tanzania Bara, Christine,amewataka Wanawake wote nchini kutembea Kifua mbele kwani Chama cha Mapinduzi CCM kipo imara.
Hayo ameyasema leo Novemba 17,2022 jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma.