marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

casinoroyal

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

meritbet

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA WATANZANIA WANAOPATA NAFASI KWENYE MIRADI YA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wananchi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato,leo Oktoba 30,2022 jijini Dodoma.

……………….

Na Alex Sonna-DODOMA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma huku akiwataka watanzania watakaopata fursa ya ajira katika  mradi huo kuacha vitendo vya wizi wa vifaa kwenye mradi huo.
Rais Samia ameyasema hayo leo Oktoba 31,2022 katika Kata ya Msalato Jijini Dodoma wakati wa hafla hiyo ambapo Mradi huo wa njia nne za Ndege utatekelezwa kwa awamu mbili ambapo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 600 hadi kukamilika kwake.
Rais Samia amewasihi wananchi wa Dodoma na wasimamizi wa mradi huo kuhakikisha kazi zinazoweza kufanya na watanzania wapewe kipaumbele.

” Ndugu zangu najua kuna tabia za baadhi ya wale mnaopewa kazi za muda(vibarua) wakipewa kusimamia ujenzi wanakuwa na vijitabia vya kudokoa dokoa mara Mfuko wa misumari,mara saruji hii sio sawa nataka mtakaopata nafasi msijihusishe na vitendo hivo,”amesema Rais Samia

Aidha Rais Samia amesema kuwa ujenzi huo lengo ni kukuza ushindani unakuwepo wa kimataifa na pia ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi kwani ndege za kimataifa zitakuwa zikiendesha safari zake na pia soko la bidhaa litaongezeka.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame  Mnyaa Mbarawa  amesema Mradi huo utakuwa na fursa kwa Wakazi wa Dodoma na Mikoa mingine pamoja na kuiunganisha nchi na Mataifa mengine na kuahidi kusimamia ili ujenzi huo umalizike kwa wakati.

”Nia ya kujenga uwanja ilikuwepo tangu mwaka 1970 ambapo kiwango cha Ujenzi ni daraja E kwa mujibu wa viwango vya kimataifa na wataanza na ujezni wa barabara ya ndege kupaa kilomita 3.6 na utakuwa na uwezo wa kuwahudumia abiria Milioni 1.5 kwa mwaka.”amesema Prof.Mbarawa

Naye Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kumuunga mkono Rais Samia na kusema NDIYO kwenye bajeti ya Serikali kwa miradi mikubwa ya kimkakati na miradi mipya ambayo Serikali imepanga kutekeleza.

” Tumesikia hapa kuwa safari yako ya Ufaransa imewezesha kufanyika matengenezi makubwa ya jengi la pili la abiria katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, hivyo Bunge litaendelea kusema NDIYO kwa safari zako za nje. Hivyo ni kuahidi, Bunge litaendelea kusema NDIYO kwenye miradi ya maendeleo, tutakosoa panapobidi na kutoa ushauri.”

Katibu wa NEC itikadi na ueneze Chama Cha Mapinduzi CCM Shaka hamdu Shaka,ameipongeza serikali kwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama hicho kwa vitendo na kuviasa vyama vingine vya siasa nchini kuunga mkono jitihada zinazofanywa za kuwaletea wananchi maendeleo.

“Rais Samia anaendeleza maono ya makao makuu ya nchi kuwa Dodoma hili halipingiki tunaona jinsi anavyoendelea kuipa heshima na thamani makao makuu ya nchi hivyo anaviasa vyama vingine vya siasa nchini kuunga mkono jitihada zinazofanywa za kuwaletea wananchi maendeleo.”amesema Shaka.

Awali Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila, amesema kuwa eneo hilo lina ukubwa wa hekta 4500 na Sh.Bilioni 15.20 zimetumika kulipa fidia wananchi waliopisha maeneo yao kwa ajili ya mradi.

Mhandisi Mativila amesema kuwa mwaka 2015 serikali ilipata mkopo wa masharti nafuu kutoka AfDB kwa ajili ya marejeo ya upembuzi yakinifu na usanifu kwa kina ambapo mwaka 2017 serikali kupitia TAA iliingia mkataba na kampuni ya kihandisi ya nchini Tunisia kwa kampuni ya Tanzania kwa gharama ya Dola za Marekani Milioni 1.885 ambapo kazi hiyo ilikamilika mwaka 2019.

“Kiwanja hiki lengo kijengwe kiwe na uwezo wa kuhudumia abiria Milioni 32 kwa mwaka, kiwango ambacho kitafikiwa baada ya miaka 100,”

Naye , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema jumla ya wakazi wa Dodoma 3,368 wamelipwa fidia ya Sh bilioni 16.93 kupisha ujenzi huo ambapo wananchi 10 wanaodai fidia ya Sh milioni 80 wameshapelekwa maombi Hazina.

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dk Patricia Laverley,amesema kuwa ujenzi wa kiwanja hicho umefadhiliwa na benki yake kwa gharama ya dola za Marekani milioni 271 ambao utachukua miaka mitatu.

“ Tunachotaka ni kuwa sehemu ya mabadiliko makubwa ya Dodoma inavyotakiwa kuwa kwa kuimarisha usafiri anga kwa kuruhusu ndege za kimataifa kutua hapa nchini hatua ambayo itasaidia kuibadili Tanzania.”

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mussa Mbura ,amesema mpaka Machi 2021 Tanzania ilikuwa na viwanja vya ndege 435 ambapo Serikali inamiliki viwanja 194 na viwanja vya sekta binafsi ni 241 ambapo viwango vya kimataifa vya ulinzi na usalama ni asilimia 69 kwa mwaka 2022 na lengo ni kufikia asilimia 75 katika kaguzi za mwaka 2023/24.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wananchi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato,leo Oktoba 30,2022 jijini Dodoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame  Mnyaa Mbarawa,akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Msalato jijini Dodoma hafla iliyofanyika leo Oktoba 30,2022.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Msalato jijini Dodoma hafla iliyofanyika leo Oktoba 30,2022. 

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dk Patricia Laverley,akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Msalato jijini Dodoma hafla iliyofanyika leo Oktoba 30,2022.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Msalato jijini Dodoma hafla iliyofanyika leo Oktoba 30,2022.

Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato jijini Dodoma leo Oktoba 30,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Patricia Leverley kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Mkoani Dodoma tarehe 30 Oktoba, 2022. Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali.

About the author

Alex Sonna