Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI BITEKO AZINDUA OFISI YA AFISA MADINI MKAZI MAHENGE

Written by Alex Sonna

NA FARIDA MANGUBE, MAHENGE

Waziri wa Madini  Dkt. Doto Biteko amesema kuwepo kwa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge katika Mkoa wa Morogoro italeta manufaa mapana kwa Wachimbaji wa madini, wafanyabiashara wa madini pamoaj na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga, Malinyi na Kilombero.

Dkt.Biteko ameyasema Oktoba 29, 2022 mkoani Morogoro wakati wa Uzinduzi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge ambapo ambapo alisema kufunguliwa kwa ofisi hiyo kutatoa fursa kwa wachimbaji wakubwa na wadogo kupta huduma kwa ukaribu zaidi hali itakayosaidia kuongeza mapato.

Alisema  kufunguliwa kwa Ofisi hiyo italeta tija kwa wachimbaji na wawekezaji  kwani itaweza kusimamia na kuratibu kwa karibu shughuli zote  za migodi kwa ukaribu zaidi tofauti na hapo awali ambapo huduma hizo zilikuwa zinapatikana na mjini Morogoro.

“Katika kipindi hiki ambacho migodi ya uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini ya Kinywe (Faru Graphite Corporation) inategemea kuanza migodi hiyo, mbali na kutoa ajira kwa wazawa itasaidia kuinua uchumi na kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Jumla.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa a Morogoro Bi. Fatma Mwasa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Bi. Ngolo Malenya alisema kufunguliwa kwa ofisi hiyo kutaongeza usimamizi wa makusanyo pamoja na kutoroshwaji wa majini.

Alisema ya  Wilaya Ulanga ina leseni za uchimbaji wadogo 203, wachimbaji wakati leseni 3, watafiti wa madini leseni 18 huku ikiwa na mchimbaji  mmoja mkubwa na kufanya kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato kutoka milioni 314413168. Kwa mwaka wa fedha 2020-2021 na kufikia milioni  506245527.29 kwa mwaka wa fedha 2021-2022.alisema Alisema kwa kipindi cha mwezi julai na agost 2022 Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge amefanikiwa kukusanya shilingi milioni 224 sawa na asilimia 22 ya lengo ya mwaka ya kukusanya kiasi cha shilingi bilioni moja kwa mwaka wa fedha 2022-2023.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Dustan Kitandula amemshukuru Waziri Biteko kwa kuona umuhimu wa kuialika kamati katika ufunguzi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge ambayo itasaidia kuongeza uwekezaji katika sekta ya madini.

Akizungumza katika ufunguzi huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Adolf Ndunguru alisema  kuwa Morogoro ni mkoa wa kipekee na umejaaliwa kuwa na madini ya kimkakati ya Kinywe, ambayo yana fursa ya kuleta mapinduzi ya kiuchumi ya kuwezesha Sekta hii kuchangia asilimia 10 katika pato la taifa.

Awali   Katibu Mtendani wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba alisema  Mkoa wa kimadini wa Mhenge utasimamia wilaya tatu za Ulanga, Kilombero pamoja na Malinyi na kwamba utasimamia jumla ya leseni za dila 62, broker 68, leseni za uchimbaji mdogo 177 pamoja na mchimbaji mkubwa mmoja ambaye serikali imeitoa hivi karibuni.

Alisema kufunguliwa kwa ofisi ya afisa mkazi wa Mahenge  kunaenda sambamba na uanzishwaji wa vituo vya ukaguzi wa madini katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Ulanga , Malinyi, pamoja na Kilombero.

About the author

Alex Sonna