Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TANZANIA, MALAWI KUSHIRIKIANA KATIKA MUSUALA YA ULINZI NA USALAMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Waziri wa Sheria wa nchini Malawi Mhe. Titus Mvalo wakibadilishana nyaraka kwenye Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dar es Salaa

………………………………..

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi zimesaini hati mbili za makubaliano ya kushirikiana katika masuala ya ulinzi na usalama wakati wa Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (The 5th Joint-Permanent Commission for Cooperation – JPCC) kati ya nchi hizo mbili uliofikia tamati jana tarehe 28 Oktoba 2022 jijini Dar es Salaam.

Hati hizo za makubaliano zilizosainiwa na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) na Mhe. Titus Mvalo Waziri wa Sheria wa nchini Malawi zinahusu ushirikiano baina ya Jeshi la Polisi la Malawi na Jeshi la Polisi la Tanzania, na ushirikiano baina ya Taasisi za Uhamiaji za pande zote mbili.

Akizungumza muda mfupi baada ya kusaini hati hizo, Waziri Ndumbaro na Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo, ambaye pia alimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax, ameeleza kuwa Mkutano huo umewezesha pande hizo mbili kukubaliana katika masuala mbalimbali ya msingi huku msisitizo mkubwa ukielekezwa katika sekta ya Biashara, Uwekezaji, Ulinzi na Usalama, Miundombinu, Masuala ya Mambo ya Nje na Kijamii

“Katika Mkutano huu wa Tano wa JPCC pamoja na masuala mengine nchi zetu mbili zimekubaliana kuongeza kasi ya kutatua changamoto zinazokabili sekta binafsi ili kuwezesha na kurahisisha biashara, vilevile tumekubalia kutumia fursa ya uwepo wa Ziwa Nyasa katika kurahisisha uendeshaji wa shuguli za kiuchumi ikiwemo usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu kwa maendeleo ya wananchi wetu” alisema Dkt. Ndumbaro.

Waziri Mdumbaro aliongeza kutaja fursa na faida mbalimbali zilizotokana na Mkutano huo ikiwemo, nia na dhamira ya Nchi ya Malawi ya kutumia barabara ya Mtwara hadi Bandari Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma katika kusafirisha bidhaa na huduma kwenda nchini humo. Fursa nyingine ni nia ya Malawi kushirikiana na Tanzania katika suala la elimu na mfunzo kupitia Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaa, ambapo alieleza kuwa hati ya makubaliano kuhusiana na suala hilo inatarajiwa kusainiwa siku za usoni.

Dkt. Ndumbaro aliendelea kufanunua kuwa licha ushirikiano na uhusiano mzuri wa Kidiplomasia uliopo baina ya pande hizo mbili, Malawi imeonesha nia ya kutumia Bandari ya Mtwara na Mbamba Bay kutokana na ukweli kuwa njia hiyo ni fupi zaidi ikilinganishwa na njia zote wanazozitumia hivi sasa kutoka Bandari mbalimbali kuingiza bidhaa nchini humo.

Mbali na kuzungumzia fursa za kiuchumi Dkt. Ndumbaro, alitoa rai kwa Serikali ya Jamhuri ya Malawi kuendelea kuthamini lugha ya Kiswahili sambamba na kuhimiza matumizi ya lugha hiyo nchini humo. Vilevile aligusia umuhimu wa Serikali ya Jamhuri ya Malawi kuendelea kufundisha somo la Kiswahili katika ngazi mbalimbali za elimu nchini humo.

Kwa upande wake Mhe. Titus Mvalo, Waziri wa Sheria wa Malawi na Kiongozi wa Ujumbe wa Malawi ambaye pia alikuwa anamwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo amebainisha kuwa, masuala yote katika Mkutano huo yamehafikiwa katika wakati sahihi ambapo Viongozi Wakuu wa Serikali za pande zote mbili wanania ya dhati kuona ushirikiano wa Tanzania na Malawi unaleta tija ya kiuchumi kwa wananchi wa pande zote mbili.

Waziri Mvalo aliendelea kuelezea namna Serikali ya Malawi inaweka jitihada katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini humo ikiwemo kuongeza somo la kiswahili kwenye mtaala wa elimu nchini humo.

“Moja ya sifa kubwa ya lugha ya Kiswahili ni ile ya kutokuwa na mizizi ya ukabila, siyo rahisi hata hapa nchini Tanzania kusikia kabila moja wapo miongoni mwa makabila zaidi ya 120 yaliyopo likijinasibu kuwa lugha ya kiswahili ya kwake. Tunajivunia lugha hii hadhimu ya Kiswahili kwa kuwa ni lugha ya asili ya Afrika inayounganisha watu wengi barani hapa” alisema Waziri Mvalo

Akihitimisha hotuba yake ya kufunga Mkutano wa Tano wa JPCC Waziri Mvalo ametoa rai kwa sekta zote kuhakisha wanakutana mara kwa mara ili kufuatilia utekelezaji wa masuala yote yaliyohafikiwa katika Mkutano huo.

Mkutano wa Tano wa JPCC ambao umehitimishwa katika ngazi ya Mawaziri umefanyika kwa kipindi cha siku tatu kuanzia terehe 26 – 28 Oktoba 2022. Mbali na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro kwa upande wa Tanzania Mkutano pia ulihudhuriwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa. Wengine waliohudhuria ni Watendaji kutoka Wizara, Idara, na Taasisi mbalimbali za Serikali.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Waziri wa Sheria wa nchini Malawi Mhe. Titus Mvalo wakisaini Hati za Makubaliano kwenye Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Picha ya pamoja

Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi ukiendelea 

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Naimi Azizi akitoa neno la ukaribisho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dar es Salaam

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Waziri wa Sheria wa nchini Malawi Mhe. Titus Mvalo wakibadilishana nyaraka kwenye Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dar es Salaam

About the author

Alex Sonna