Featured Kitaifa

NAIBU KATIBU MKUU MKAMA AKAGUA MRADI WA MAZINGIRA WILAYANI MAGU

Written by mzalendoeditor

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama (mwenye miwani) akinunua asali kutoka kwa wanakikundi katika Kijiji cha Iseni Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS) unaoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

 

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama (mwenye miwani) akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS) Bw. Joseph Kihaule wakati wa ziara ya kukagua mradi huo wilayani Magu mkoani Mwanza.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama akitoa maelekezo wakati alipokagua Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS) wakati wa ziara ya kukagua mradi huo wilayani Magu mkoani Mwanza.

Jengo la mradi wa ufugaji kuku katika kijiji cha Iseni wilayani Magu mkoani Mwanza likiwa katika hatua za ujenzi ambalo linajengwa kupitia Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS).

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Magu akifafanua jambo wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama aliyetembelea na kukagua Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS).

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

About the author

mzalendoeditor