Uncategorized

JOPO LA MAAFISA KUTOKA PEPFAR, USAID LAKUTANA NA MABINTI NA AKINA MAMA VIJANA KAHAMA

Written by mzalendoeditor
 
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR na USAID wakizungumza na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jopo la Maafisa kutoka Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) wametembelea Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia mradi wa EPIC unaotekelezwa na Shirika la Family Health International (FHI 360).
 
Wakiwa Wilayani Kahama wakiambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali ngazi ya taifa na Mkoa wa Shinyanga maafisa hao wamekutana na vikundi vya mabinti wanaosimamiwa na shirika la Tanzania Development And AIDS Prevention Association (TADEPA) wilayani Kahama pamoja na kujionea shughuli za ujasiriamali zinazofanywa na mabinti hao wakiwemo wasichana 120 wanaosomea masomo ya Ushonaji na Computer katika kituo salama kwa Mabinti.
 
Shirika la FHI 360 linatekeleza mradi huo kupitia Mpango wake wa DREAMS katika mradi wa EpiC kwa ufadhili wa USAID na PEPFAR kwa kutoa elimu ya mabadiliko ya tabia, VVU na UKIMWI, ujasiriamali na Uwezeshaji kiuchumi (kuweka akiba na kukopa) kupitia vikundi vya wasichana vinavyosimamiwa na Shirika la FHI 360.
 
Mpango wa DREAMS ni kati ya afua zinazotekelezwa na mradi wa EpiC wenye lengo la kupunguza maambukizi ya VVU kwa wasichana balehe na wanawake vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 24, wanaoishi katika mazingira hatarishi na wanafanya ngono katika umri mdogo ili waweze kumudu gharama za maisha na kuwaepusha mabinti balehe na akina mama vijana na tabia hatarishi.
 
Meneja wa Mradi wa EpiC Mkoa wa Shinyanga Dkt. Shinje Msuka amesema mradi wa EpiC unatekeleza mpango wa DREAMS katika halmashauri 6 za mkoa wa Shinyanga tangu mwezi Februari 2020 kupitia mashirika manne ya kijamii ambayo ni Rafiki SDO, TADEPA, HUHESO Foundation na SHIDEPHA.
 
Mradi huo unatekelezwa kwa ufadhili wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID).
 
Nao baadhi ya wanufaika wa mradi huo akiwemo, Eva Marco Aphonce na Doreen Joseph wameishukuru EpiC kwa kuwafungulia maisha kwa kuwaondoa kwenye makundi hatarishi kwa kuwapa elimu ya mabadiliko ya tabia,ujasiriamali/uchumi yaliyowasaidia kujikinga na maambukizi ya VVU na kujiinua kiuchumi kwa kujiajiri na kupata vipato ili kuepuka kuwa tegemezi.
 
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Jopo la Maafisa kutoka Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Serikali ya Tanzania wakizungumza na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la Family Health International (FHI 360) leo Jumatano Oktoba 19,2022. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jopo la Maafisa kutoka Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Serikali ya Tanzania wakizungumza na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la Family Health International (FHI 360)
Jopo la Maafisa kutoka Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Serikali ya Tanzania wakizungumza na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la Family Health International (FHI 360).
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakipiga picha ya kumbukumbu na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360

Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakipiga picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali wa EpiC na TADEPA
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakiwa katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Mmoja wa wageni akizungumza katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakiwa katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitia Mradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakiwa katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Maafisa mbalimbali wakiwa katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15hadi 24 wilayani Kahama
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakiwa katika kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Mkurugenzi wa Ufundi Shirika la FHI 360/EpiC Tanzania, Joseph Ng’weshemi akielezea kazi wanazofanya wakati wa ugeni wa Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania kwenye kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la TADEPA, James Barongo Basheka akielezea kazi wanazofanya wakati wa ugeni wa Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania kwenye kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiCunaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la TADEPA, James Barongo Basheka akielezea kazi wanazofanya wakati wa ugeni wa Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania kwenye kikao na Mabinti balehe na akina mama vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Mabinti wakiwa na bidhaa walizotengeneza wenyewe wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Mabinti wakiwa na bidhaa walizotengeneza wenyewe wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Mabinti wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Mabinti wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Modester Deogratius akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Tabibu Hospitali ya Kahama, Doricas Nangi akielezea namna wanavyotoa elimu kwa makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Sabra Hassan akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Doreen Joseph akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Naomi Nestory akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Fatma Juma akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Veronica Samwel akielezea namna alivyonufaika Mradi wa DREAMS na jinsi anavyoelimisha makundi ya vijana juu ya mabadiliko ya Tabia na kujiepusha na maambukizi ya VVU.
Meneja wa Mradi wa EpiC Mkoa wa Shinyanga Dkt. Shinje Msuka akielezea namna wanavyotumia vikundi vya utamaduni kutoa elimu ya mabadiliko ya tabia, VVU na UKIMWI na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakishuhudia kikundi cha utamaduni cha Shinyanga Arts Group kikitoa burudani na kuelimisha jamii kuepukana na ukatili wa kijinsia, elimu ya VVU na UKIMWI na mabadiliko ya tabia kwa vijana.

Kikundi cha utamaduni cha Shinyanga Arts Group kikitoa burudani na kuelimisha jamii kuepukana na ukatili wa kijinsia, elimu ya VVU na UKIMWI na mabadiliko ya tabia kwa vijana.
Afisa Mabinti Balehe na Akina Mama Vijana kupitia mpango wa DREAMS katika mradi wa EpiC, Agnes Junga akielezea namna wanavyotumia vikundi vya utamaduni kuelimisha jamii kuepukana na ukatili wa kijinsia, elimu ya VVU na UKIMWI na mabadiliko ya tabia kwa vijana.
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Maafisa kutoka PEPFAR, USAID wakiangalia bidhaa zilizotengenezwa na Mabinti balehe na akina mama vijana
Mabinti wakiwa na bidhaa walizotengeneza wenyewe wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Mabinti wakiwa na bidhaa walizotengeneza wenyewe wakiwa kwenye kikao na wageni kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakiwa katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakishuhudia mabinti balehe na akina mama vijana wakiendelea na mafunzo ya Computer katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360

Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakishuhudia mabinti balehe na akina mama vijana wakiendelea na mafunzo ya Ushonaji katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama wanaonufaika kupitiaMradi wa EpiC unaotekelezwa na Shirika la FHI 360

Amina Said akielezea jinsi alivyonufaika kupitia mafunzo ya Computer aliyoyapata katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama.
Eva Marco Aphonce akielezea jinsi alivyonufaika kupitia mafunzo ya Ushonaji aliyoyapata katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama.
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakipiga picha ya kumbukumbu na mabinti balehe na akina mama vijana katika kituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama.
Jopo la Maafisa kutoka PEPFAR, USAID) na Serikali ya Tanzania wakipiga picha ya kumbukumbu na mabinti balehe na akina mama vijana katikakituo salama kwa Mabinti wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wilayani Kahama.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

mzalendoeditor