Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

PROF. JAMAL AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU KUPITIA NYARAKA ZA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA NJE YA SHULE

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau kilicholenga kupitia, kutoa maoni na kuthibitisha rasimu ya Mwongozo (Life Skills), viwango sanifu na mfumo wa utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule kilichofanyika jijini Dodoma.

……………………………………..

Na: Mwandishi Wetu – Dodoma

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu amefungua kikao kazi cha wadau kwa lengo la kupitia, kutoa maoni na kuthibitisha rasimu ya Mwongozo, viwango sanifu na mfumo wa utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule.

Profesa Jamal amesema hayo jijini Dodoma alipokuwa akifungua kikao kazi hicho na kueleza kuwa, Ofisi ya Waziri Mkuu ilianza kufanya mapitio ya Mwongozo wa Stadi za Maisha wa mwaka 2009 kwa lengo la kuhakikisha masuala mapya yanayojitokeza katika duru za kimataifa, kikanda na kitaifa kwa ajili ya maendeleo ya vijana yanahuishwa kwenye mwongozo huo.

“Stadi za Maisha ni elimu, mbinu na maarifa ambayo hutolewa kwa vijana kwa lengo la kuhamasisha mabadiliko chanya ya tabia, hivyo utekelezaji wa mwongozo huu utasaidia kutengeneza afua madhubuti zitakazo wawezesha vijana kushughulikia changamoto nyingi zinazowakumba,” amesema

Amefafanua kuwa, Serikali kupitia wizara yenye dhamana na maendeleo ya vijana iliona umuhimu wa kuwa na mwongozo huo kwa kuweka mfumo wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji ili kusaidia kwa kiasi kikubwa kufanikisha utekelezaji wa programu hiyo ya stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule.

Sambamba na hayo, Prof. Jamal Katundu ameshukuru Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kwa ushirikiano na Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa programu za maisha kwa vijana hapa nchini.

Kikao kazi hicho kitafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 29 hadi 30 Septemba, 2022 ambapo wadau hao watapitia nyaraka mbalimbali ikihusisha Mwongozo na Viwango sanifu vya utoaji wa elimu ya stadi za maisha pamoja na mfumo wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa programu hiyo.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau kilicholenga kupitia, kutoa maoni na kuthibitisha rasimu ya Mwongozo (Life Skills), viwango sanifu na mfumo wa utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule kilichofanyika jijini Dodoma.

Baadhi ya Wadau wa wakifuatilia maelezo ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu hayupo pichani) wakati wa kikao kazi hicho.

Mshauri Elekezi Dkt. Blackson Kanuksya akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha wadau kilicholenga kupitia, kutoa maoni na kuthibitisha rasimu ya Mwongozo (Life Skills) viwango sanifu na mfumo wa utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule jijini Dodoma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu (kushoto) akifuatilia kikao kazi hicho. Kulia ni Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mara baada ya kufungua kikao kazi cha kupitia, kutoa maoni na kuthibitisha rasimu ya Mwongozo (Life Skills) viwango sanifu na mfumo wa utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana nje ya shule jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kulia) pamoja na Afisa Mkuu wa Maendeleo ya Vijana, Bw. Godfrey Massawe baada ya kufungua kikao kazi hicho.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

About the author

Alex Sonna