Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

Featured Kitaifa

MAJAJI AFRIKA WANAOLEWA JUU UHURU NA USALAMA WA WANAHABARI ,WASEMA NI MUHIMU KATIKA JAMII.

Written by Alex Sonna
Rais wa mahakama ya Afrika mashariki Jaji Nestor Kayobera mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari unaoendelea mkoani Arusha.
……………………………………….
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA
Rais wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na watu Jaji Imani Aboud amesema kuwa uhuru na usalama wa wanahabari ni jambo muhimu kwani ni watu muhimu katika jamii yoyote inayoheshimu misingi ya utawala wa sheria, demokrasia na haki za binadamu.
Ameyasema hayo leo wakati akiongea na waandishi wa habari mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari yaliyoandaliwa na UNESCO  ambapo alisema kuwa jamii inawategemea wanahabari kuwa miongoni mwa watu wanaoleta amani kwa kutoa habari zinazohamasisha amani kuliko kutoa habari ambazo zinavunja amani.
“Usalama wao ni muhimu kwasababu tunawategemea wakati wowote iwe ni wakati wa uchaguzi, miradi ya maendeleo  na nyinginezo kutoa habari zinazoleta amani kwasababu habari wanazozitoa katika vyombo vyao, wananchi wanazichukua kama walivyozitoa kwahiyo kama wakitoa habari ambazo hazielezi uhalisia na ukweli wa yale yanayoendelea wajue  wanawapa habari ambazo sio sawa wananchi ambapo wanawaza kutoa maoni yanaweza kuvunja amani,” Alisema Jaji Imani.
Alieleza kuwa mafunzo hayo  ni muhimu sana na watafundishwa jinsi sauti mbalimbali za Afrika na nchi moja moja zinaweza kutumika kwa njia bora ya kuhakikisha kwamba waandishi wa habari wanakuwa na uhuru wa kutoa habari, kupewa habari, kusikilizwa na usalama wao.
“Majaji watafundishwa hapa wanapopata mashauri yanayohusu wanahabari wanawezaje kuzishughulikia kwa kuzingatia mambo gani , misingi gani na sana sana kwa kuangalia sheria zao za nchi pamoja na sheria zingine za kimataifa na mikataba ya kimataifa,” Alieleza.
Kwa upande wake Rais wa mahakama ya Afrika mashariki Jaji Nestor Kayobera alisema kuwa kuna kesi zinazohusu wanahabari ambazo zimeshasikilizwa na kutolewa maamuzi katika mahakama hiyo na wanaamini serikali zinafanya vizuri  na wananchi kutoka katika nchi zote saba za jumuiya hiyo wanahaki ya kwenda katika mahakama ya Afrika mashariki  na sio lazima wapite katika mahakama ya ndani ya nchi zao.
“Sheria ya mahakama hiyo kifungu cha 38(3) inasema nchi yoyote lazima iheshimu uamuzi wa mahakama hivyo mahakama hiyo ikishatoa maamuzi  ni lazima iende kuangalia kama uamuzi huo kama umetekeleza ambapo kama haujatekelezwa mshitaki anarudi mahakamani  na kwakuwa maamuzi yote waliyotoa kutokana na kesi zinazohusu wanahabari yametekelezwa kwasababu walikuwa wameshitaki hawajarudi mahakamani,” Alisema Jaji Kayobera.
Naye Jaji David Ngunyale mwakilishi wa mkuu wa chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto alisema kuwa mafunzo hayo ni kwaajili ya wadau wa utoaji haki kuweza kuelewa juu ya uhuru wa habari au uhuru wa kujieleza,  kuwa ni jinsi gani unahusiana na masuala ya utoaji haki ili wananchi waweze kupata taarifa zinazostahili kwani wanahaki ya kupata habari ambapo katika suala Hilo mahakama ni lazima iwe na mazingira rafiki yanayowezesha watu kupata habari.
“Mahakama sasa hivi Ina mifumo ambayo inawawezesha wananchi kufika mahakama lakini pia kupata taarifa sahihi kwa wakati sahihi ndio maana tunajitahidi kuhakikisha majaji na mahakimu wanajengewa uwezo juu ya umuhimu wa suala hili, lakini pia tukielewa vizuri kuhusu usalama wa wanahabari kwa kuzingatia utawala wa sheria tutajua kwanini wapo kwasababu wanahaki ya kuripoti yanayoendea,” Alisema.
Mkuu wa mradi wa uwajibikaji wa wanahabari kutoka UNESCO Mehdi Benchelah alisema kuwa uhuru wa kujieleza imekuwa ni changamoto kubwa Duniani ambapo kumekuwa na kesi nyingi za wanahabari  wakati mwingine wanauwa jambo linaloathiri tasnia nzima ya habari na wananchi kwa ujumla kwa kukosa uhuru wa kupata habari na UNESCO tumeona ni vyema kuwapa mafunzo haya watendaji wa mahakama ili kuwapa uelewa juu ya utawala wa kisheria na uhuru wa kujieleza ambapo wanapadishana mawazo ni vipi nchi za ulaya na za Afrika zinafanya ili kuweza kusimamia suala hili.
Mkuu wa mradi wa uwajibikaji wa wanahabari kutoka UNESCO Mehdi Benchelah akiongea na waandishi wa habari katika mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari unaoendelea mkoani Arusha.
Rais wa mahakama ya Afrika mashariki Jaji Nestor Kayobera mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari unaoendelea mkoani Arusha.
Jaji David Ngunyale mwakilishi wa mkuu wa chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto  akiongea na wanahabari katika mafunzo hayo.
Rais wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na watu Jaji Imani Aboud akiongea na waandishi wa habari mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari unaoendelea mkoani Arusha.
baadhi  watendaji wa mahakama mbalimbali za Afrika na nchi za Afrika wakifuatilia jambo katika mafunzo ya watendaji wa mahakama kuhusu uhuru wa kujieleza na usalama wa wanahabari unaoendelea mkoani Arusha.

About the author

Alex Sonna