Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA VIONGOZI WA MAMLAKA YA BIMA NCHINI

Written by mzalendoeditor

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa pili kuli) wakati wa mazungumzo na  ujumbe  aliofuatana nao leo  wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe  ulioongozwa na  Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa tano kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea kitabu cha muongozo wa mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania kutoka kwa  Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware, wakati wa mazungumzo na ujumbe  uliouongoza  wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya Mazungumzo.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor