Uncategorized

MAJALIWA AENDA DRC KUMWAKILISHA RAIS SAMIA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 23, 2022 ameondoka nchini kwanda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC)  kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kumi wa wakuu wa nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa Maziwa Makuu.

Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiagana na viongozi wa Mkoa wa Dar es salaam wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere . (Picha na Ofisi yas Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor