Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Februari 23, 2022. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini,Dkt. Donald Wright. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Gregory Meeks zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro ambaye ni Kiongozi wa jumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Marekani, baada ya Waziri Mkuu kuzungumza na ujumbe huo kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam, Februari 23, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleCHANELI YA KILIMO KUANZISHWA
Next articleMAJALIWA AENDA DRC KUMWAKILISHA RAIS SAMIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here