Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA VIONGOZI WA KAMATI ZA AMANI NA JUMUIYA YA MARIDHIANO TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Viongozi wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 17, 2022, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Sheikh Alhad Mussa Salum (kulia kwake)

Mwenyekiti wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza wakati wa kikao na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mdhamini wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Ndg. Azim Dewji akizungumza wakati wa kikao na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) kikao kilichofanyika leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (mwenye miwani mbele), katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 17, 2022, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Sheikh Alhad Mussa Salum (kulia kwake)

 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor