Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA FUMBA KATIKA SALA YA IJUMAA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wananchi wa Kijiji cha Fumba wakifuatilia hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatib Sheikh.Maulid Issa Shani, kabla ya Sala ya Ibada ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Fumba Bondeni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-6-2022.(Picha na Ikulu)WANANCHI wa Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Fumba Bondeni leo 17-6-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibaada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Fumba Bondeni leo 17-6-2022.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Sheikh.Khamis Mussa Khamis, baada ya kumaliza  Ibaada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Fumba Bondeni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja iliyofanyika leo 17-6-2022.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Khamis Mussa Khamis (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Fumba Bondeni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-6-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor