Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwenye ukumbi wa Spika, Bungeni jijini Dodoma Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor