marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

grandpashabet giriş

palacebet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

celtabet, celtabet giriş

jasminbet, jasminbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

trendbet

padişahbet

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

betwoon

deneme bonusu

İkimisli

onwin

nakitbahis

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

imajbet

lunabet

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

Grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

tipobet

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

betist

betist

casinomilyon

Featured Kitaifa

WAFANYABIASHARA TABORA WAOMBWA KUITUMIA BENKI YA EXIM KUFANYA UWEKEZAJI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya Exim  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa Mkoani Tabora hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Bw Paul Chacha akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya Exim  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa Mkoani Tabora hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo mwishoni mwa wiki kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani humo ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo

Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa Mkoani Tabora hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Viongozi waandamizi wa Benki ya Exim wakiwa pamoja na wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki hiyo Mkoani Tabora akiwemo Mkuu wa Mkoa huo Balozi Dk. Batilda Burian kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Tabora ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Bw Paul Chacha wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi  wa benki ya Exim wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Tabora ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

………………………………………..

Na Mwandishi Wetu-Tabora

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian amewaomba wafanyabiashara mkoani humo kuhakikisha wanachangamkia vema uwepo wa taasisi za kifedha ikiwemo Benki ya Exim mkoani humo kwa kufanya uwekezaji  katika maeneo mbalimbali ya kiuchumi ili kuuendeleza mkoa huo.

Akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya Exim kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyolenga kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo Balozi Dk. Burian alisema bado wakazi wa mkoa huo hawajaweza kutumia kikamilifu uwepo wa taasisi hizo katika kujikwamua kiuchumi wao binafsi na faida ya mkoa kwa ujumla.

“Mkoa wa Tabora upo kwenye uchumi unaokua. Ili kufanikisha ukuaji wake tunahitaji sana wawekezaji kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, ufugaji na viwanda ili kukchochea kasi ya ukuaji wa uchumi wetu. Ni sisi kama wana Tabora ndio tuna jukumu hilo tusisubiri watu watoke mikoa mingine kuja kufanya jambo hilo hapa. Na benki ya Exim wapo hapa leo kutukumbusha hilo hivyo nachoomba ni ushirikiano wenu mchangamkie huduma zao ikiwemo mikopo,’’ alisema.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani humo, Bw Paul Chacha alisema kupitia huduma ya Exim Wakala wakazi wa mkoa huo wanatarajia kuchangamkia zaidi huduma za kifedha kupitia benki hiyo kwa kuwa hapo awali walishindwa kufanya hivyo kutokana na wananchi katika maeneo mengi kushindwa kufikiwa na huduma za benki hiyo.

“Mwaka huu tunatarajia kuvuna tumbaku kiasi cha zaidi ya kilogram milioni 10 hivyo tunatarajia huduma nzuri pia za kifedha. Ujio wa Exim Wakala utakuwa ni mkombozi kwa wananchi wa Tabora ambao licha ya kuvutiwa na huduma za Exim muda mwingine wamekuwa wakishindwa kuitumia vema benki hii kwa kuwa walikuwa hawafikiwa na huduma zake kwa ukaribu zaidi.,’’ alisema.

Awali wakizungumza kwenye hiyo, Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo alisema benki kwa sasa inauweka mkoa wa Tabora katika vipaumbele vyake kwa kuhakikisha zaidi huduma zake katika mkoa huo zinakwenda sambamba na mkakati wa mapinduzi ya kiuchumi ya mkoa huo.

“Tumebaini kwamba kwasasa mkoa wa Tabora unapitia mabadiliko makubwa ya kiuchumi katika maeneo mbalimbali ikiwemo biashara na kilimo ambayo yanahitaji ushiriki mkubwa wa taasisi za kifedha na hivyo benki ya Exim tupo tayari kwa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha hilo. Ujio wa huduma yetu ya Exim Wakala unalenga kufanisha hilo zaidi hivyo tunaomba sana wana Tabora mtupokee,’’ alisema Bw Lyimo.

Kwa upande wao baadhi wa wafanyabiashara mkoa huo walisema wakati mkoa huo ukiwa unajipanga kujenga uchumi imara na endelevu, ufanisi katika mfumo wa fedha ni moja ya mahitaji ya muhimu kwao ili waweze kushiriki katika katika ukuaji wa uchumi huo na maendeleo kwa ujumla.

“Ndio maana leo tumeshukuru sana kuona Benki ya Exim imetuita hapa kututangazia kwamba ipo pamoja na sisi katika kufanikisha hili. Tunawashukuru sana kwa hilo na sisi tupo tayari watupokee’’ alisema Bw Snega Juma mmoja wa wafanyabiashara mkoani humo.

About the author

Alex Sonna