Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

About the author

mzalendoeditor