Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA DKT. TULIA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mafunzo ya Mandela Washington Fellowship 2022, nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 26 Mei, 2022.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ndg. Nehemia Mchechu (kulia), Mseminari wa Shirika la Msalaba Mtakatifu (Holy Cross), Frateri. Issack Makere (wapili kushoto) na Afisa Bunge Wizara ya Ardhi, Ndg. James Mwanakatwe nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 26 Mei, 2022.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi kutoka Ilemela Mkoani Mwanza, nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 26 Mei, 2022.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor