Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA JUMUIYA YA MAGOA ZANZIBAR LEO IKULU

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar Bi.Amanda Maria Demello akisoma salamu za jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar l

UJUMBE wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Kiongozi wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar Bw.Wolfango Martins akizungumza na kutowa historia ya Magoa Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022, kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor