Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MtaaTAMISEMI(Elimu) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu Hamisa Hamisi Kalombola, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi John Michael Haule kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Immaculata Peter Ngwalle kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Khadija Ali Mohamed Mbarak kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Susan Paul Mlawi kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Adadi Mohamed Rajabu kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Viongozi mbalimbali walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Nassor Nassa Mnambila kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala Bora) Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Innocent Bashungwa, Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Hamadi Masauni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga wakiwa katika hafla fupi ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali tarehe 21 Mei 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la Uapisho lililofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 21 Mei, 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 21 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor