marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

imajbet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

Marsbahis

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

deneme bonus veren siteler

holiganbet

deneme bonusu

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

supertotobet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

ligobet giriş

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

kralbet

ligobet

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

casibom

Featured Kitaifa

DK.MWINYI:CCM ITAENDELEA KUJIIMARISHA KIUCHUMI

Written by Alex Sonna

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Viongozi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Magharib wakati akihitimisha ziara zake katika Mkoa huo kwa upande wa Unguja huko Bweleo Unguja.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akitoa salamu za CCM katika ziara ya kichama ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi iliyofanyika Mkoa wa Magharib huko Bweleo Unguja.

BAADHI ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia hotuba na nasaha za Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi wakati akizungumza katika ziara yake Mkoa wa Magharib Unguja.

…………

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi amesema atahakikisha maeneo yote yenye hadhi ya uwekezaji ndani ya Chama yanatafutiwa wawekezaji wakubwa watakaoweza kusimamisha miradi yenye tija kiuchumi ndani ya CCM na Jumuiya zake.

Dk. Mwinyi alisema wakati umefika kwa CCM kufanya mapinduzi ya kiuchumi kwa kutumia rasilimali zake ipasavyo, akieleza kuwa licha ya Chama kuwa na mali na maeneo mengi ya uwekezaji, bado havizalishi mapato yanayolingana na thamani yake halisi.

Kauli hiyo aliitoa wakati akihitimisha ziara yake ya kuimarisha Chama upande wa Unguja alipokutana na viongozi wa Halmashauri Kuu za CCM Mkoa wa Magharib, Wilaya ya Mfenesini na Wilaya ya Dimani katika mkutano uliofanyika Bweleo, Unguja.

Alisema CCM inapaswa kuelekeza nguvu katika uwekezaji wa miradi mikubwa yenye kuingiza mapato makubwa ikiwemo majengo ya kisasa ya biashara, nyumba za kupangisha na kuuza, kumbi za mikutano za kimataifa pamoja na mahoteli ya hadhi ya juu.

Dk. Mwinyi alisisitiza kuwa kila ngazi ya uongozi ndani ya Chama na Jumuiya zake kuanzia matawi hadi mikoa inapaswa kubadili mtazamo wa uwekezaji mdogo mdogo ambao hauna tija kubwa katika kukuza uchumi wa Chama.

“Ndugu viongozi wenzangu, Chama chetu kinahitaji kukua kiuchumi kwa sababu tunahitaji fedha za kuendesha shughuli mbalimbali ikiwemo ujenzi wa ofisi za kisasa, posho na mishahara ya watumishi, ununuzi wa magari pamoja na vifaa vya ofisi. Hivyo ni muhimu kutumia vizuri rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya Chama,” alisema Dk. Mwinyi.

Aliongeza kuwa miradi midogo yenye mapato ya kodi ya Shilingi 100,000 au 200,000 kwa mwezi haiwezi kusaidia kufikia malengo makubwa ya kiuchumi ya Chama, hivyo kuna haja ya kuelekeza nguvu katika miradi mikubwa yenye mapato makubwa na endelevu.

Aidha, alisema CCM haijawahi kufanya mikutano yake mikuu Zanzibar, lakini kwa mipango ya uwekezaji wa miundombinu ya kisasa ikiwemo ukumbi mkubwa wa mikutano, Zanzibar itaweza kuwa mwenyeji wa mikutano hiyo katika miaka ijayo.

Dk. Mwinyi alisema utekelezaji wa malengo hayo utaifanya CCM kwenda sambamba na vyama vikubwa vya ukombozi na kijamaa duniani ambavyo vina uchumi imara kupitia uwekezaji wa miradi mbalimbali.

Katika mkutano huo pia alizungumzia suala la fidia kwa baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Dimani walioathiriwa na ujenzi wa barabara, akieleza kuwa Serikali itahakikisha kila mwenye haki analipwa stahiki zake, huku waliopokea fedha kwa njia za udanganyifu wakitakiwa kuzirejesha ili waliostahili walipwe.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mohamed Said Dimwa aliwapongeza viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Magharib kwa kuendelea kukisimamia Chama kwa mshikamano, nidhamu na uaminifu.

Dk. Dimwa alisema CCM imejipanga kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Chama wa mwaka 2027 unafanyika kwa misingi ya demokrasia, nidhamu na mshikamano, huku akiwataka wanachama kuepuka makundi na kuendeleza siasa safi zinazolinda umoja wa Chama.

Aliongeza kuwa CCM tayari imeanza kujiandaa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa dola wa mwaka 2030 kwa kuandaa viongozi wenye uwezo, maadili na uzalendo ili kuendelea kuaminiwa na wananchi.

Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharib, Mohamed Rajab Soud alimpongeza Rais Dk. Mwinyi kwa kuimarisha miradi ya maendeleo katika sekta za afya, kilimo, elimu, maji na miundombinu ya barabara pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kisasa kitakachotumika katika mashindano ya AFCON 2027, akisema hatua hiyo itaendelea kuitangaza Zanzibar kimataifa.

About the author

Alex Sonna