marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

SERIKALI KUCHAPISHA NA KUSAMBAZA VITABU MILIONI 8 KUBORESHA UBORA WA ELIMU NCHINI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda,  akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Mei 7,2026  bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali imepanga kuchapisha na kusambaza jumla ya nakala milioni nane za vitabu vya kiada pamoja na miongozo ya walimu katika shule za msingi na sekondari nchini kwa lengo la kuboresha ubora wa ufundishaji na kuhakikisha kila mwanafunzi anapata kitabu chake.

Hayo yameelezwa leo bungeni na Waziri wa Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda wakati akiwasilisha mapato na matumizi ya Wizara hiyo Kwa mwaka wa fedha 2026-2027.

Mpango huo unatekelezwa katika mwaka wa fedha 2026/27 na unalenga kuimarisha uwiano wa kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja (1:1), hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa ujifunzaji na kuboresha matokeo ya kitaaluma kwa wanafunzi wa ngazi mbalimbali.

Amesema kuwa kati ya nakala hizo milioni 8, jumla ya nakala 3,102,263 zitasambazwa kwa shule za msingi darasa la sita, huku nakala 4,558,899 zikitolewa kwa wanafunzi wa kidato cha tatu katika mkondo wa jumla. Aidha, nakala 338,838 zitatumika kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika mkondo wa elimu ya amali.

Katika hatua nyingine, Serikali imeeleza kuwa itaandaa na kusambaza jumla ya nakala 51,000 za vitabu vya kiada vilivyo katika maandishi yaliyokuzwa na mfumo wa Breli kwa ajili ya wanafunzi wenye uoni hafifu na wasioona. Kati ya hizo, nakala 23,000 zitatolewa kwa shule za msingi darasa la sita, nakala 2,000 kwa wanafunzi wa sekondari kidato cha nne mkondo wa amali na nakala 26,000 kwa kidato cha tatu mkondo wa jumla.

Hatua hiyo inalenga kuhakikisha usawa katika upatikanaji wa elimu kwa watoto wote bila kujali changamoto zao za kiafya, sambamba na kuimarisha ujumuishi katika mfumo wa elimu nchini.

Serikali imesisitiza kuwa mpango huo ni sehemu ya jitihada zake za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, kuongeza ubora wa elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anapata rasilimali muhimu za kujifunzia kwa wakati.

About the author

Alex Sonna