marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI MIPYA KUIMARISHA UCHUMI WA KIDIJITALI 2026/27

Written by Alex Sonna

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 30,2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMAA

Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeweka bayana vipaumbele nane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, hatua inayotarajiwa kuimarisha kasi ya mageuzi ya kidijitali na kukuza uchumi wa kisasa nchini.

Hayo yamesemwa leo Aprili 30, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

 Waziri  Kairuki amesema kuwa  wizara inalenga kuboresha mazingira ya sekta ya TEHAMA ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia duniani.

Miongoni mwa vipaumbele vilivyotajwa ni pamoja na kutunga na kuhuisha sera na miongozo ya sekta, kuimarisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano ya simu na posta, pamoja na kuweka mazingira rafiki ya kukuza biashara mtandao. Aidha, serikali inalenga kuendeleza miundombinu ya TEHAMA na kuhakikisha nchi inanufaika kikamilifu na uchumi wa kidijitali.

 “Wizara imejipanga kuimarisha ulinzi wa anga ya mtandao ili kukabiliana na vitisho vya kidijitali vinavyoendelea kuongezeka, sambamba na kuchochea ubunifu kwa kusaidia kampuni changa (startups) kupata mazingira bora ya kukua.”amesema Waziri Kairuki

Amesema  uwekezaji katika TEHAMA na programu za anga za juu pia umepewa kipaumbele, huku elimu kwa umma kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia na teknolojia zinazoibukia ikipewa uzito wa kipekee.

Katika utekelezaji wa majukumu yake, wizara imepanga kuendeleza sera muhimu ikiwemo Sera ya Anga za Juu ya mwaka 2026 na kukamilisha Sheria ya Anwani za Makazi, hatua itakayorahisisha utambuzi wa maeneo na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Sekta ya mawasiliano inatarajiwa kushuhudia maboresho makubwa kupitia miradi ya kupeleka huduma za simu na redio katika maeneo yasiyo na mvuto wa kibiashara, pamoja na kupanua huduma za posta nchini. Vilevile, serikali itaendelea kuratibu mradi wa kurusha satelaiti ndogo ya mafunzo (CUBESAT), ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uwezo wa kitaifa katika teknolojia za anga.

Katika eneo la miundombinu, wizara itasimamia ufanisi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na vituo vya kuhifadhi data, huku ikitekeleza Mkakati wa Kitaifa wa Brodibendi na Mpango Kabambe wa Miundombinu ya TEHAMA wa mwaka 2026–2036.

Aidha, katika kukuza huduma za kidijitali, serikali imepanga kuanzisha Mpango wa Kitaifa wa Mageuzi ya Kidijitali, kuratibu uanzishwaji wa vituo saba vya ubunifu, na kuwezesha uuzaji wa mifumo ya TEHAMA nje ya nchi.

Hatua hizi zinatarajiwa kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha ubunifu na teknolojia katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku zikichochea ajira, ubunifu na ushindani wa kiuchumi katika enzi ya kidijitali.

About the author

Alex Sonna