marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

BALOZI OMAR AFIKA KUJITAMBULISHA CCM DODOMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati), Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa (Kushoto), na Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Bi. Pili Mbanga, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mhe. Balozi Omar kutembelea Ofisi za Chama hicho, ngazi ya Mkoa kujitambulisha baada kuteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Waziri wa Fedha.

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akiagana na  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa, mara baada ya kutembelea Ofisi za Chama hicho, ngazi ya Mkoa kujitambulisha baada kuteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Waziri wa Fedha.

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi za Chama hicho, ngazi ya Mkoa kujitambulisha baada kuteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Waziri wa Fedha.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

Na Benny Mwaipaja, Dodoma

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa, alipotembelea Ofisi za Chama hicho, ngazi ya Mkoa, kujitambulisha.

“Nimekuja kwenye Ofisi za Chama kujitambulisha baada kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Waziri wa Fedha, ni mkazi sasa wa Dodoma, mwanachama hai wa CCM, nikaona ni vema nije kujitambulisha” Alisema Mhe. Balozi Omar

Alisema kuwa CCM ndiyo inayoongoza Serikali baada ya kuchaguliwa na wananchi na Ilani ya Chama ndiyo inayotekelezwa, hivyo ni utamaduni wangu kwamba kila nitakapopata fursa ya kutembelea mikoani, pamoja na kuwatembelea Wakuu wa mikoa, nitapita pia kujitambulisha kwenye Ofisi za Chama.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa, aliyeambatana na Katibu wa CCM wa mkoa huo Bi. Pili Mbanga, alimpongeza na kumsifu Mhe. Balozi Omar kwa moyo wake wa kipekee wa kutambua umuhimu wa Chama katika kutekeleza majukumu yake.

“Nitumie fursa hii kukupongeza, umeanza vizuri sana, uko tofauti sana na wengine, we are proud of you! umeonesha mfano usio wa kawaida na wewe ni mtu wa kipekee sana, tutakupa ushirikiano” Alisema Alhaji Kimbisa.

Alhaji Kimbisa alisema kuwa Chama cha Mapinduzi mkoani Dodoma kiko imara na kinaendelea kuwatumikia wananchi kikamilifu kwa kuhakikisha kuwa huduma muhimu za jamii zinatolewa kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

“Chama cha Mapinduzi kinaamiwa na kiko madarakani mpaka leo ni kwa sababu kinawasikiliza wananchi, wakisema wanataka maji, shule, barabara, hospitali, Serikali ya CCM inapeleka” aliongeza Alhaji Kimbisa.

Mbali na kuwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, ni Miongoni mwa Wajumbe watano wanaoliwakilisha Bunge katika Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

About the author

Alex Sonna