marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKEMEA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

Written by Alex Sonna

-ASISITIZA MALEZI BORA KWA WATOTO KWA MANUFAA YA TAIFA

-APONGEZA JUKWAA LA TUZO ZA MALKIA WA NGUVU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameiasa jamii kukemea na kujiepusha na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa kwa wanawake hususani katika mitandao ya kijamii.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa kilele cha Tuzo kwa wanawake waliofanya vizuri katika sekta mbalimbali maarufu “Malkia wa Nguvu” kanda ya kati, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mabele mkoani Dodoma. Amesema udhalilishaji huo unapaswa kukemewa na kila Mtanzania ili kusimamia heshima ya mwanamke katika jamii.

Makamu wa Rais amesema ni vema watanzania wote kuona wajibu wa kuilinda heshima ya mwanamke na kuwapima wanawake kwa majukumu yao yanayoleta maendeleo kwa Taifa. Amewasihi kipekee wanawake, kuacha tabia ya kushangilia katika mitandao ya kijamii hususani anapodhalilishwa mwanamke mwenzao.

Halikadhalika, Makamu wa Rais ametoa rai kwa Wanawake nchini kwa kushirikiana na jamii kwa ujumla kuchukua hatua katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa watoto. Amesema imekuwepo tabia ya watoto kujiingiza katika matumizi ya mitandao ya kijamii ambayo imekuwa ikiwekwa maudhui yasiyofaa hivyo kuharibu maadili na kuhatarisha kizazi cha sasa na kijacho.

Makamu wa Rais amesema Serikali itaendelea kusimamia mambo yatakayoleta mabadiliko kwa wanawake ikiwemo kuendeleza majukwaa ya uwezeshaji ikiwemo mpango wa 2022-2032 na kusimamia mfuko wa maendeleo ya wanawake ambao unahusika na ukopeshaji.

Pia amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi katika kujenga maendeleo ya nchi kuinua ajira na kutengeneza fursa pamoja na kuzingatia nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa Taifa. Ametoa wito kwa Jukwaa la Malkia wa Nguvu kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu na hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Makamu wa Rais amewapongeza wanawake katika kuendelea kushiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa Taifa na shughuli za maendeleo kwa ujumla. Amesema nia ya Serikali kupitia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni kujenga Taifa lenye nguvu kwa kujengea uwezo watu wake kwa kuzingatia usawa katika jamii.

Makamu wa Rais amelipongeza Jukwaa la Malkia wa Nguvu kwa kusimamia kwa kutimiza miaka kumi kwa mafanikio, ambapo limefanya jitihada za pekee kubainisha fursa kwaajili ya wanawake na kuwahamasisha kuzitumia fursa hizo.

Makamu wa Rais amesema Serikali inavutiwa na malengo ya Taasisi inayosimamia Jukwaa la Malkia wa Nguvu husuani lengo kuu la kumuinua wanawake na kuwafanya kuwa wajasiriamali, wabunifu na viongozi.

Katika Kilele cha Tamasha hilo la Malkia wa Nguvu kanda ya kati, wanawake mbalimbali wamepata tuzo kwa kutambua mchango wao katika sekta mbalimbali ikiwemo ujasiriamali, ubunifu, utumishi wa umma na uongozi.

About the author

Alex Sonna