marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

TANZANIA, AFREXIMBANK ZAJADILI SGR, AMCE NA UAGIZAJI WA MAFUTA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwa katika picha na Makamu wa Rais wa Afriexim Bank (Global Trade Bank), Bw. Haytham ElMaayergi, baada ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ambapo Benki hiyo imeonesha utayari wa kuendelea kuisaidia Tanzania kupata fedha za ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR pamoja na kuwekeza kwenye miradi mipya ya sekta ya madini na ujenzi wa mradi mkubwa wa hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center of Excellence (AMCE).

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WF, Washington D.C, Marekani)

Na Benny Mwaipaja, Washington D.C

 

Benki ya Afrika ya Uagizaji na Usafirishaji Nje ya Nchi (African Export-Import Bank-Afreximbank) imesema iko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kupata fedha za ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR pamoja na kuwekeza kwenye miradi mipya ya sekta ya madini na ujenzi wa mradi mkubwa wa hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center of Excellence (AMCE).

 

Ahadi hiyo imetolewa Jijini Washington D.C, nchini Marekani na Makamu wa Rais wa Afriexim Bank (Global Trade Bank), Bw. Haytham ElMaayergi, alipokutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), pembezoni mwa Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF.

 

Alisema kuwa Tanzania ni mdau wa kimkakati wa Benki hiyo na kwamba iko tayari kushirikiana nayo kutekeleza miradi mbalimbali itakayokubaliwa na pande zote mbili itakayokuwa na tija na inayosisimua ukuaji wa uchumi na maisha ya watanzania.

 

“Tuko tayari kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania katika mradi wa kununua na kuiongeza thamani dhahabu, kuendelea kutafuta fedha za ujenzi wa Reli ya SGR na tunasubiri kukamilika kwa mchakato wa kuwekeza Kituo kikubwa cha Matibabu ya kibingwa ya kiwango cha kidunia nchini Tanzania” Alisema Bw. Haytham ElMaayergi

 

Kwa upande wake, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, aliishukuru Afreximbank kwa kuendelea kuisaidia Tanzania, si tu katika kufadhili mradi wa reli ya kisasa ya SGR, bali pia katika kusaidia shughuli za jumla za kibajeti za Serikali, ikiwemo nafasi yake kama ntafutaji wa fedha ‘Mandated Lead Arranger’ katika muamala wa ufadhili wa bajeti wa mwaka wa fedha 2024/25.

 

Alisema kuwa wakati Serikali ikiendelea kuhamasisha fedha za utekelezaji wa vipande vya sita na saba vya SGR kupitia Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), inatarajia pia Afreximbank kushiriki katika mpango huo kutokana na umuhimu wa mradi huo kwa uchumi wa nchi.

 

Aliiomba Afreximbank kufungua zaidi dirisha la ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) ili kuwawezesha waendelezaji wa miradi na wakandarasi wakuu kushiriki kikamilifu.

 

Katika sekta ya afya, alisema kuwa Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji wa Kituo cha Afrika cha Ubora wa Huduma za Tiba (Africa Medical Centre of Excellence – AMCE), ambacho kinatarajiwa kuwa nguzo muhimu ya kuimarisha miundombinu ya afya nchini na katika ukanda mzima.

 

Kwa upande wa nishati ya mafuta, Mhe. Balozi Omar aliipongeza Afreximbank kwa ushirikiano wake na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na kuonesha nia ya kusaidia uagizaji wa bidhaa za petroli kwa kipindi cha Mei hadi Julai 2026.

 

Alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa mpango huo katika kuhakikisha usalama wa nishati nchini.

 

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dkt. Juma Malik Akil, Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bw. Aboud Hassan Mwinyi, Kaimu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade na Viongozi wengine waandamizi wa Serikali na Taasisi zake.

 

About the author

Alex Sonna