marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betpas

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Featured Kitaifa

WAKALA WA VIPIMO WADHAMIRIA KUTOKOMEZA LUMBESA

Written by Alex Sonna

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akifungua kikao cha 37 cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala hiyo kilichofanyika Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

Veronica Simba

Meneja Mawasiliano

WMA

 

WMA – DODOMA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla amewataka watendaji wa Wakala hiyo kuanza ukaguzi wa mazao ya shamba na kupambana zaidi na ufungashaji wa mazao hayo kwa mtindo wa lumbesa.

Akifungua Mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa WMA, Machi 27, 2026 jijini Dodoma, Kihulla amewasisitiza wajumbe wa Baraza hilo kufikisha ujumbe huo kwa watumishi wote katika maeneo yao kuanza kutekeleza jukumu hilo kikamilifu.

“Lakini tunapotekeleza majukumu haya, tuhakikishe haki katika biashara na kulinda mapato ya Serikali,”ametahadharisha.

Amesema kuwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026, WMA imepata mafanikio mbalimbali katika utekelezaji wa majukumu yake ya kumlinda mlaji kupitia uhakiki wa vipimo lakini pia kumekuwepo na changamoto kadhaa.

Akidadavua, amesema mafanikio yaliyopatikana yametokana na juhudi, weledi na ushirikiano wa watumishi wote wa Wakala hivyo amewapongeza kwa kazi nzuri wanayoendelea kufanya.

“Pamoja na mafanikio hayo, bado tunakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na ongezeko la wigo wa majukumu yetu katika kumlinda mtoa huduma pamoja na mpokea huduma,” ameeleza.

Mtendaji Mkuu Kihulla amebainisha baadhi ya changamoto hizo kuwa ni pamoja na jukumu la uhakiki wa vipimo vinavyotumika kupima muda wa maongezi pamoja na uhakiki wa mita za maji na vilevile lumbesa; suala ambalo liliungwa mkono na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Sekta ya Afya (TUGHE), Ngazi ya Taifa, Rugemalira Rutatina ambaye pia alishiriki mkutano huo, akisema yako malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi katika maeneo hayo hivyo yanapaswa kushughulikiwa.

Kihulla amesisitiza kuwa hata viongozi wakuu wa Wizara akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga wameielekeza WMA kupambana na ufungashaji mazao ya shamba kwa mtindo wa lumbesa ili kuwalinda wakulima.

Katika hatua nyingine, Mtendaji Mkuu amewahimiza wafanyakazi wote wa WMA kuendelea kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na uzalendo akiwataka kutambua kuwa kazi wanayofanya ina mchango mkubwa katika kulinda haki za wananchi pamoja na kukuza biashara ya ushindani na haki, ikiwemo pia kuongeza mapato ya Serikali.

“Kwahiyo, niwaombe sana mkawasisitize watumishi waliopo katika vituo vyenu kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi na kubwa zaidi kujiepusha na vitendo vya rushwa.”

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la WMA, Isaac Birahi aliushukuru Uongozi wa Wakala hiyo kwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji kazi kwa watumishi na kuomba hali hiyo iendelee kwa viwango vya juu zaidi.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Sera na Mipango, Nelson Ruturagala, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 16, 2026 alisema kuwa Wakala imefanikiwa kutekeleza Mpango Kazi wake kwa wastani wa zaidi ya asilimia 91.62

Akidadavua, aliyataja maeneo ya utekelezaji yaliyochangia kufikia wastani huo kuwa ni katika usimamizi wa vipimo, ukaguzi, uhakiki wa bidhaa zilizofungashwa zinazoingia nchini pamoja na ada kutokana na utolewaji wa huduma.

Katika kikao hicho cha 37, wajumbe wa baraza walipata pia fursa ya kujadili Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) wakiimba wimbo wa ‘Mshikamano Daima’ kabla ya kuanza kikao cha 37 cha Baraza hilo, kilichofanyika Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akifungua kikao cha 37 cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala hiyo kilichofanyika Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Sekta ya Afya (TUGHE), Ngazi ya Taifa, Rugemalira Rutatina akizungumza wakati wa kikao cha 37 cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) kilichofanyika Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA), wakichangia hoja mbalimbali wakati wa kikao cha 37 cha Baraza hilo kilichoketi Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla (katikati) akiongoza kikao cha 37 cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala hiyo kilichoketi Machi 27, 2026 jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Baraza, Meckytidicy Ngonyani na kushoto ni Katibu Msaidizi, Fadhil Msane.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) wakiimba wimbo wa ‘Mshikamano Daima’ baada ya kuhitimisha kikao cha 37 cha Baraza hilo kilichofanyika Machi 27, 2026 jijini Dodoma.

 

About the author

Alex Sonna