marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betpas

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Featured Kitaifa

UCSAF YASAMBAZA MITUNGI YA GESI KUINUA WANAWAKE WA VIJIJINI KONDOA 

Written by Alex Sonna


‎Na Edward Winchislaus.

WANAWAKE wajasiriamali wa vijijini katika wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma, wameanza kuona mwanga mpya baada ya kupatiwa mitungi ya gesi, hatua inayolenga kuwaondoa kwenye matumizi ya nishati chafu ya kupikia na kulinda afya zao.

Ugawaji huo umefanyika leo Machi 28, 2026 kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa USCAF unaofanyika kila mwaka ili kurudisha kwa jamii ( CSR) kwa kugusa makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii

‎Akizungumza katika hafla hiyo, mgeni rasmi Ramadhani Hamis, aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, amesema hatua hiyo ni muhimu katika kupunguza athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya kuni na mkaa, ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikiathiri afya za wanawake na watoto.

‎Aidha, ameeleza kuwa halmashauri imekuwa ikiendesha kampeni za uhamasishaji kuhusu matumizi ya nishati safi, na tayari imefanikiwa kugawa majiko ya nishati hiyo mara tatu kwa wanawake wajasiriamali, jambo lililoongeza mwamko na uelewa wa jamii juu ya faida zake.

‎“Ni muhimu kwa akina mama hawa kuhakikisha wanatumia mitungi hii ipasavyo kwa kuijaza gesi inapoisha badala ya kurudi kwenye matumizi ya nishati chafu,” amesema Ramadhani Hamis, akisisitiza umuhimu wa mabadiliko endelevu ya matumizi ya nishati.

‎Kwa upande wake, Afisa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa UCSAF, Bi. Celina Mwakabwale, amesema taasisi hiyo inaunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata na kutumia nishati safi ya kupikia, hasa katika maeneo ya vijijini.

Amebainisha kuwa katika awamu hiyo mitungi 50 imegawiwa kwa wanawake wajasiriamali, huku mingine 50 ikitarajiwa kugawiwa kwa makundi mbalimbali ya kijamii, na kwamba zoezi hilo limekuwa endelevu kwa takribani miaka mitatu sasa likiwa na matokeo chanya yanayoonekana.

‎Wanawake walionufaika na mpango huo walionesha furaha yao, wakieleza kuwa msaada huo utarahisisha shughuli zao za kila siku na kuboresha afya zao kwa kupunguza moshi unaotokana na kuni na mkaa.

“Nimefurahishwa sana na msaada huu; umetupa nafuu kubwa sisi wanawake ambao tulikuwa tukikumbana na changamoto nyingi kutokana na matumizi ya kuni na mkaa,” amesema Bi. Neema Boniphace kutoka kijiji cha Beleko, akiwakilisha wanufaika wengine.

About the author

Alex Sonna