Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

casibom

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

bets10 giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

casibom giriş

holiganbet güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis güncel giriş

holiganbet giriş

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

holiganbet

casibom giriş

matbet giriş

matbet

deneme bonusu

esbet

nesinecasino

holiganbet

bahiscasino

betgit

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

meritking

marsbahis

mavibet

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

romabet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

galabet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

marsbahis

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

casibom giriş

Betsin

enjoybet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

casibom

Betsin Güncel Giriş

holiganbet giriş

casibom güncel giriş

holiganbet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

sonbahis

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bahisvebahis

Featured Kitaifa

WAZIRI KIKWETE : SERIKALI ITAENDELEA KUWAHUDUMIA NA KUWAENZI VIONGOZI WA KITAIFA WASTAAFU KWA MCHANGO WAO MKUBWA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa kumbukizi ya miaka mitano ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Joseph Magufuli yaliyofanyika Chato mkoani Geita ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi (hayupo pichani)

Na Veronica Mwafisi-Chato

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali itaendelea kuwahudumia na kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Wastaafu kwa kiwango stahiki kwa mujibu wa sheria na kwa kuzingatia maelekezo ya mara kwa mara yatakayotolewa na Mamlaka. 

Mhe. Kikwete ametoa kauli hiyo leo tarehe 17 Machi 2026 kwenye kumbukizi ya miaka mitano ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Joseph Magufuli yaliyofanyika Chato mkoani Geita.

Amesema, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ndiyo yenye dhamana na Matunzo ya Viongozi wa Kitaifa Wastaafu kwa Mujibu wa Hati Idhini ambayo Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aligawa majukumu kwa Mawaziri na suala hili la kumbukizi ni mojawapo ya utekelezaji wa Sheria ya Mafao ya Hitimisho la Kazi kwa Viongozi wa Kisiasa Sura 225 jambo ambalo hata Hayati Dkt. John Joseph Magufuli, aliwahi kulitolea maelekezo.

“Kwa msingi huo, tunatoa uhakika wa uendelevu wa huduma bora kwa Viongozi wa Kitaifa Wastaafu na Wajane wa Viongozi wa Kitaifa Wastaafu,” amesisitiza Mhe. Kikwete.

Aidha, ameongeza kuwa Rais wa Awamu ya Tano alielekeza kuwa suala la kumbukizi linatakiwa kufanyika kwa umakini na ubora wa hali ya juu ili kuwafanya viongozi waliostaafu na wanaojiandaa kustaafu kuwa na ari ya kufanya kazi kubwa ya kulijenga Taifa wakiwa kazini kutokana na kupata uhakika wa uendelevu wa mustabali wa maisha yao na kuweka misingi bora ya kukabidhi kijiti cha uongozi wa nchi yetu.

Mhe. Kikwete amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruhusa na maelekezo mbalimbali kuhusu kufanyika kwa kumbukizi hiyo. 

“Nikiwa ndiye Waziri mwenye dhamana na matunzo ya Viongozi wa Kitaifa Wastaafu naomba nikushukuru wewe binafsi kwa kutoa fedha za kufanikisha shughuli hii sambamba na kutusimamia katika kufanikisha jambo hili muhimu kwa Ofisi yetu, Serikali kwa ujumla na Familia ya Hayati Dkt. John Joseph Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo hapa inaongozwa Mama Janeth, Mjane wa Hayati Dkt. John P. J. Magufuli,” ameongeza.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa kumbukizi ya miaka mitano ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Joseph Magufuli yaliyofanyika Chato mkoani Geita ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi (hayupo pichani)

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (wa kwanza kushoto) akiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Wananchi mbalimbali wakifuatilia Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Sehemu ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi akiongoza Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Sehemu ya Mawaziri na Viongozi wengine wa Serikali wakiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Sehemu ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa kwanza kulia) akiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita. 

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bw. Musa Magufuli (Aliyeva suti ya blue) akifuatilia jambo wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Sehemu ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

Sehemu ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais huyo iliyofanyika leo Machi 17, 2026 Chato, mkoani Geita.

About the author

Alex Sonna