marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betpas

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Featured Kitaifa

KATIBU MKUU DKT. MUYUNGI ATETA NA MSANII WA BONGO FLAVOUR NA BALOZI WA UNEP, BI. FRIDA AMANI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka taasisi ya The Amani Foundation waliongozwa na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Flavour), Bi. Frida Amani (wa pili kulia) wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam.

….

OFISI ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imepanga kushirikiana na Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana hatua inayolenga kuwawezesha vijana kunufaisha na fursa za miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi.

Hayo yamebainishwa leo Jumatano (Januari 28, 2026) Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dkt. Richard Muyungi wakati wa kikao baina yake na msanii wa muziki wa kikazi kipya (Bongo Flavour) na mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Bi. Frida Amani.

Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeanzisha Wizara maalum ya Vijana inayolenga kubainisha fursa zitakazowanufaisha vijana ikiwemo programu za miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi.

“Hivi karibuni nimekutana na taasisi ya vijana ya Green Samia Foundation ambapo nimewasihi kuchangamkia fursa zinazohusiana na uhifadhi na utunzaji wa mazingira kwani ina fursa zinazoweza kuwaletea maendeleo yao” amesema Dkt. Muyungi.

Dkt. Muyungi Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeendelea kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii yanayoshiriki katika shughuli za uhifadhi wa mazingira ikiwemo vijana hatua inayolenga kuunga mkono juhudi za makundi hayo.

Katika mazungumzo hayo, Dkt. Muyungi apongeza juhudi na jitihada mbalimbali zinazofanywa na msanii huyo pia ni Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kwa kuendelea kujenga hamasa ya uhifadhi wa mazingira kupitia tasnia ya muziki na utangazaji.

Aidha Dkt. Muyungi amemwomba Balozi huyo kuendelea kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais katika shughuli za matukio mbalimbali ya kitaifa na kimatifa ikiwemo maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani (WED) na Mikutano ya Nchi Wanachama wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP).

Aidha ametoa ushauri kwa msanii huyo kutangaza pia maeneo ya uhifadhi yaliyopo nchini na kuitaja hifadhi ya taifa ya Saadani ambayo ina utajiri mkubwa wa vivutio vya utalii, wanyamapori na fukwe za kupendeza

“Nashauri pia tuitangaze hifadhi ya taifa ya Saadani ambayo mbali na vivutio vya utalii na  wanyamapori na pia kuna tukio la kipekee ambalo unawakuta wanyama wakipunga upepo katika fukwe zilizopo ndani ya hifadhi hii,” amesema Dkt. Muyungi.

Kwa upande wake, Balozi huyo wa UNEP, Bi. Frida Amani ameishukuru Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kutambua mchango na juhudi anazoendelea kuzifanya katika kuhamasisha masuala ya urejeshaji wa mifumo ikolojia.

Amesema hadi kufikia sasa taasisi yake ya The Amani Foundation imetekeleza programu mbalimbali za urejeshaji wa mifumo ikolojia ikiwemo kushiriki katika zoezi la upandaji wa miti kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Naye Meneja wa Msanii huyo, Frank Mkuvalwa amesema katika kuunga mkono juhudi za Serikali katika urejeshaji wa mifumo ikolojia taasisi hiyo imekuwa ikiandaa matamasha na mabonanza mbalimbal yanayolenga kuhamasisaha jamii umuhimu wa kutunza mazingira.

Amesema kupitia taasisi ya The Amani Foundation, imeweza kushirikiana na taasisi na watu mashuhuri ndani na nje ya nchi katika kuhakikisha jamii inapata uelewa kuhusu umuhimu wa masuala ya urejeshaji wa mifumo ikolojia nchini.

“Tumepanga kuwa na matukio makubwA kwa mwaka huu ambayo yanahamasisha umuhimu wa uhifadhi wa mifumo ikolojia ambapo msanii wetu Bi. Frida Amani amepanga kutunga wimbo mmoja ndani ya msitu huo ya msitu wa Pugu” amesema Mkuvalwa.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka taasisi ya The Amani Foundation waliongozwa na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Flavour), Bi. Frida Amani (wa pili kulia) wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akiagana na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni Msanii wa Muziki wa Kikazi kipya (Bongo Flavour), Bi. Frida Amani mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao wakati alipofika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais zilizopo Luthuli Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza jambo na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flavour) Bi. Frida Amani wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza jambo na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flavour) Bi. Frida Amani wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akimsikiliza Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flavour) Bi. Frida Amani wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam

Katibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza jambo na ujumbe wa taasisi ya The Amani Foundation ulioongozwa na Balozi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flavour) Bi. Frida Amani wakati walipomtembelea Dkt. Muyungi katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam

(NA MPIGA PICHA WETU)

About the author

Alex Sonna