Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

sahabet güncel giriş

grandpashabet güncel

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

venusbet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 giriş

grandpashabet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

casibom

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

SERIKALI YASEMA KONGANI YA BUZWAGI ITACHOCHEA UKUAJI UCHUMI WA NCHI

Written by Alex Sonna
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Stephen Chaya akiongea na wadau mbalimbali wa kongani ya Buzwagi wakati wa ziara hiyo
Meneja wa ufungaji mgodi wa Barrick Buzwagi-Mhandisi Zonnastraal Mumbi akiongea wakati wa ziara hiyo.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Stephen Chaya (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda (katikati) na Meneja wa ufungaji mgodi wa Barrick Buzwagi-Mhandisi Zonnastraal Mumbi.
Mkuu wa wilaya ya Kahama,Frank Nkinda akiongea wakati wa ziara hiyo.

 

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Stephen Chaya akitembezwa katika maeneo mbalimbali ya Kongani ya Buzwagi.

 

 ****
 
#Yaipongeza Barrick kwa kufunga mgodi kwa viwango bora
 
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Stephen Chaya, amesema kuwa Kongani ya Viwanda ya Buzwagi Special Economic Zone inatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha uchumi wa Mkoa wa Shinyanga na Taifa kwa ujumla, kutokana na mpango wake unaotoa fursa mbalimbali za uwekezaji.
 
Dkt. Chaya ameyasema hayo baada ya kufanya ziara ya kikazi ya kutembelea kongani hiyo iliyopo katika Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga ambapo pia ameipongeza kampuni ya Barrick kwa ufungaji wa mgodi wa Buzwagi kitaalamu na kufanya eneo hilo kuwa la kuvutia kwa wawekezaji.
 
“Nimefurahi kusikia kuwa eneo hili limetengwa miongoni mwa maeneo sita ya uwekezaji, ambapo mnapanga kujenga vyuo vya ufundi, makazi, viwanda na miundombinu mingine muhimu. Hivyo basi, Buzwagi ni eneo sahihi kabisa kwa uwekezaji na limepangiliwa vizuri na wadau wote wanaosimamia eneo hili ikiwemo kampuni ya Barrick,” amesema Dkt. Chaya.
 
Ameongeza kuwa azma ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhakikisha Watanzania wanakuwa na maisha bora na amewataka wananchi kuchangamkia fursa hii ya kongani kubadilisha maisha yao.
 
“Serikali inapenda kuona Wananchi wa Kahama na Tanzania katika sekta zote ikiwemo , akina mama lishe, wasomi na hata wasiokuwa wasomi wanapata ajira na fursa za kipato kupitia uwekezaji huu mkubwa katika kanda hii ya ziwa”, amesisitiza.
 
Dkt. Chaya amewataka viongozi pamoja na wadau wote wa maendeleo kuhakikisha wanashirikiana kwa pamoja ili kutimiza dhamira na maono ya Mheshimiwa Rais.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Frank Nkinda aliyekuwa katika ziara hiyo ameeleza kuwa Kongani ya Viwanda ya Buzwagi ina vigezo vyote vinavyohitajika kuwavutia wawekezaji, ikiwemo mazingira rafiki ya uwekezaji, eneo kubwa pamoja na uwepo wa uwanja wa ndege unaorahisisha usafiri.
 
“Serikali inaendelea kufungua wigo kwa ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini na kuongeza manufaa ya rasilimali madini kwa kutenga eneo hili maalum la uwekezaji la ulipokuwa Mgodi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu la Barrick Buzwagi lenye ukubwa wa ekari 1331, ni kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa za migodini na tayari viwanda sita vimekwisha jengwa huku wamiliki wa viwanda 15 wakionesha nia ya kujenga viwanda katika eneo hilo”, ameeleza.
 
Ametoa wito kwa watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika kongani hiyo ili kukabiliana na changamoto za ajira kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja na manufaa ya taifa.
 
Awali Akieleza Utekelezaji wa Mchakato wa kikamilisha Kongani hiyo Meneja Ufungaji wa Mgodi wa Buzwagi, Mhandisi Zonnastraal Mumbi, amesema kwa sasa kuna mwitikio mkubwa kwa wawekezaji kuhitaji kuwekeza katika Kongani hiyo kutokana na kukidhi vigezo vyote vinavyovutia wawekezaji.

About the author

Alex Sonna